Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

AL JAZEERA
60e1c067adf24b0a87d2a4d1a5735e7f_6.jpg
Ujumbe wa waziwazi huo
 
Somalia, Libya, Iraq, Afghanistan...wamefanya nini cha peke yao?
Walichokifanya Somalia, Libya, Iraq, Afghanistan ndo lilikuwa lengo lao kubwa. hawakuwa na mission nyingine zaidi ya hii. Hawakwenda kule kupambana na waasi au kuleta amani... Walitakata kuleta hali hii iliyopo sasa. Walishinda walichokitaka. Kuchochea maasi na baadae wanufaike kisiasa na kiuchumi.
 
Watanzania munaniacha hoi! hivi kwanini kidplomasia watanzania tumegawanyika? mfano kwenye hii issue ya NK kutest Nuclear zake, ukisoma posts mbalimbali humu utagundua, kuna wanaoisapoti US na wako walioko NK! Kwanini hii hali? [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji36] [emoji379] [emoji379] [emoji114] [emoji125]
inatokana na mitazamo binafsi tu mkuu
 
Walichokifanya Somalia, Libya, Iraq, Afghanistan ndo lilikuwa lengo lao kubwa. hawakuwa na mission nyingine zaidi ya hii. Hawakwenda kule kupambana na waasi au kuleta amani... Walitakata kuleta hali hii iliyopo sasa. Walishinda walichokitaka. Kuchochea maasi na baadae wanufaike kisiasa na kiuchumi.
Tatizo la NK ni nini sasa kwa mtazamo huu? Unadhani itakuwa rahisi kiasi hicho leo hii USA I step into NK territories kienyeji kienyeji na bado pasitokee madhara katika ulimwengu wa leo?
 
Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia
Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)
Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided
Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%
Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana
USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni
1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.
Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale Washington DC commands zikitoka Pyongyang kumbuka US anazo silaha za nuclear ambazo nying zinaongozwa kwa mifumo ya computer pia umeme na nishati ya kuendesha mitambo ni computerised je jeshi hili ambalo ni hatari kwa kuhack system mbalimbali za kijeshi na Usalama awawezi kugeuza DC na US kuwa gizani nishati hakuna na je Trump anao watu wa kufanya na kujilinda yakitokea mashambulizi hayo ya mifumo ya kiulinzi na mitambo maana naona National Security Agency (NSA) kama bado kuna tatizo kwani kama uchaguzi tu wahuni wamehack je itakuwa mitandao power systems zinazorun system za nuclear?

Tukipata muda tutakuja kuangalia kitengo cha intelligence kitengo number moja ktk uwanja wa mapambano
 
NK kama ilivyo kwa nchi nyingine, leo ndo ilikuwa siku yake ya kuadhimisha simply "Uhuru" wake. Na amefanya hivyo kama utaratibu unavyotakiwa kuwa. Tanzania tunafanyaga hivyo December 09, kila mwaka na sio vitisho wala maonyesho kwa mtu yeyote na hivyo kwa swala kubwa kama hilo kwa Taifa lolote hakuna wakukuingilia na kukupangia cha kuonyesha. Back to Topic, vikwazo na chokochoko za USA dhidi ya NK kwa miaka zaidi ya 50 sasa ni kile kinachoitwa ujeuri na kiburi cha utawala wa NK. Imekuwa hivyo tangu enzi za Kim IL Sung akaja mwanae Kim Jong IL na sasa Kijana wa kiduku. Basically kwa "ujeuri na kiburi" chao hawajawahi kumzuia yeyote kufanya yake. Hebu wewe unaekereka rusha ngumi basi tukuone.[emoji123]

Umehamisha agenda!. Kwa hiyo sasa unataka tuongelee maonyesho yalivyofana tuache kelele za majigambo na NK?

Kwlei wamependeza!. Nimeona miguu ya wajukuu zangu wa kike wakirusha kwenye gwaride, guu, guu kweli!. WAnapendeza kwa ujumla.
 
Baada ya KIM KARDISHAN kuufyata ku launch missiles zake kama alivyozoea kwa kuogopa vitisho kutoka kwa D.J.DRUMPF akafanya maonyesho tu ya gobole zake ili kuonesha kwamba haogopi maana anaogopa kukaa kimya angezomewa kwa kutii amri ya DRUMPF saa Putin fans kama kawaida yao wanaanza kujitia mioyo kwa kuleta vihoja na vi historia uchwara niwaambieni tu dogo atapigwa na next topic mtaamia kwa assad kama sikosei
 
Tukiwa bado tunaendelea na uchambuzi wa kitisho au kinachoendelea eneo la Asia Pacific kwa US kuivamia kijeshi Korea kaskazini tulisha zungumzia kitisho cha kiuchumi ambapo eneo la Pacific kwa mwaka kuna GDP ya$ 17.1566 Tillion na purchasing power ya 16 ambapo ndio number one ktk wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka Ulaya na America na kuwa eneo muhimu kibiashara na Uchumi dunia

Leo tutakijita kwenye maswala ya kijeshi baada ya kuona kiuchumi katika uwanja wa mapambano kuna vitengo vitatu ambayo ndio engine ya kushinda vita au kushindwa vitu hvyo ni
1 Intelligence ( ujasusi wa kupata taarifa za kijeshi na Usalama wa adui wako
2Comminication (Mawasilino ndani ya uwanja wa mapambano)
3 Supplying ( Usambazaji wa vifaa,silaha au huduma ndani ya uwanja wa mapambano)

Hivyo ndivyo vitengo vitatu muhimu ndani ya uwanja wa mapambano lakini leo tutakijita kwenye kitengo cha mawasilino duniani kuna aina 5 za mawasilino
1. Optical Communication System
ambayo inabeba mitandao ya kijamii kama JF ,whats app,Facebook,snapchat
2. Radio Communication System
ambayo inabeba mawasiliano ya radio (simu za upepo) na simu za Satellite Phones
3. Duplex communications system
ambayo inabeba mawasiliano ya Telephone,
Mobile, Telegraph ,Fax mfumo huu unakuwa na kitu kinachoitwa Defense Communications System (DCS)
4. Half Duplex Communication System
mfumo huu unadeal na data , na video communication mara nying unatumiwa na watumiaji wa simu za mikononi
5. Tactical Communication System
mfumo huu mara nying unatumiwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwani unakitu kinachoitwa Voice Communication Control System (VCCS) ambayo unafanya mawasiliano yanakuwa guided

Sasa leo tujikite kwenye Tactical communication systems ambayo vyombo vya Ulinzi na kijeshi wanatumia kutokana na technology ilivyokuwa inaongezeka vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software au OS (Operating system)
na Duniani kuna OS 3 ambazo ndizo zinarun mfumo mzima wa mawasilino ya computer japo si 100% mifumo hyo ni
1Microsoft windows 83.3%
2MacOS 11.2%
3Linux 1.55%
So ukimpiga jumla unakuta ni 96.05% ndio maana ni kasema si 100%

Uwanja wa mapambano unategemea sana mawasiliano ktk Ops za kushambulia target na vifaa vingi sana vya kijeshi vinatumia software yani kitengo cha mawasilino kipo busy kuliko vitengo vingine vyote threat pekee ni hackers kwa taarifa zilizopo jeshi la korea kaskazini wana kikosi cha kijeshi ambacho ni cyber special force ambacho kazi yao ni kuhack system mbalimbali za kijeshi na mawasiliano ya kijeshi na Usalama pia duniani korea kaskazini ndio nchi pekee yenye Operating system yake yenyewe kule hakuna Microsoft Windows ,MacOS au Linux so kwenye upende wa wao kuwa hacked ni ngumu sana

USA kuna tatizo sana kwenye upande wa NSA ambao kazi yao ni kuhakikisha na kudeal na Cyber threat kwani kumekuwa na matukio ya mashambulizi ya system zaa au mifumo yao na mahackers kutoka Russia , China na Korea kaskazini mifano ni

1 Mwaka 2015 Russian hackers walivamia State Department email system kwa kile kilichojulikana kama “worst ever” cyberattack against a federal agency.
2 Mwaka 2015 Ofisi ya menejimenti ya utumishi wa umma walireport kwa NSA kupotea kwa Americans’ fingerprints milion 5.6 za watumishi wa umma katika kile kilichojulikana kama ilikuwa ni cyberattack.
3 Government Accountability Office (GAO) wamereport kwa NSA kuwa kuanzia mwaka 2015 namba ya mashambulizi ya kimtandao yalipanda kwa 64% kutoka mashambulizi kutoka 5,500 mpaka zaidi ya 77,000 kwa mwaka ni 24 federal agences zilivamiwa
4 Machi mwaka jana hackers wa kutoka China waliendelea kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya serikali ya Marekani na mitandao binafsi, kwa mujibu wa U.S.mkuu wa Cyber Command Mike Rogers. China imekuwa ina husishwa na mashirika ya upelelezi ya U.S. kwa kufanya mashambulizi kwa lengo la kuiba taarifa na kuchora ramani katika mitandao muhimu ya kompyuta kwa ajili ya mashambulizi ya baadaye katika mgogoro au vita.

Yapo mengi ya kujadili lakini naomba niishie hapo lakini hii ni moja ya changamoto ktk vita hii ambayo Trump anataka kuanzisha je US wamejiandaa kupigana na jeshi hili la ofisini na silaha zao ni computer tu lakini silaha hizo zenye uwezo wa kulipua mabomu na mifumo yenu palepale US yani silaha zenu zikatumika kuwapiga nyinyi.
Hii isomwe vizuri sana hasahasa hatua ya kulipukiwa madude yako mwenyewe. Bahati mbaya tunadhani vita hii itakuwa ya kurushiana nuke peke yake. Hebu wenye access na Trump mwambieni avurumishe makombora hapo Pyongyang
 
Aisee sisi bado sana, kwanza naomba hata maonesho yetu tuwe tunajificha tu, hatujafikia kiwango cha kujiomesha kwenye dunia na vile vitofali vyetu.
Mkuu umetumia software gani kudownload, maana kwangu inagoma
kama simu tumia tubemate kwenye kompyuta tumia IDM au kwenye address bar youtube baada ya "www" ongeza "ss" itakupeleka sehemu ya kudownload
 
Back
Top Bottom