Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

1832bdf25b86703e014ef029042b458b.jpg
 
Leo ndio siku ile tuliokuwa tunaisubiri-kushuhudia maadhimisho ya siku ya Jua huko North korea.
Ambapo siku hii taifa la North korea huadhimisha sherehe hizo kwa ku test makombola yake ya masafa
Ninachojiuliza Ikitokea kama Nortkorea hawata test ndio tuseme watakuwa wamewaogopa USA au watakuwa wamewasikiliza washirika wao china na urusi hivyo kusitisha zoezi?
Je wakitest hayo makombora USA atachukua hatua gani??
N.B tafauti ys masaa nchini Korea na Hapa kwetu ni masaa 6
USA hawezi kuigusa North Korea maana hiyo itakuwa ni 3rd world war
 
Aliyejiandaa ni mmoja tu. Wngine wanaswagwa kama mang'ombe tu ambao hujui kama watakunywa maji hata waikfika bwawani au watayatizama kwa macho!
Yupi huyo mkuu?
 
Nipo kule twitter masaa 24, na-refresh page kile sekunde ili kupata update mpya za hii movie.
bd0c6146db01d7414628c8b8dd47a633.gif
 
Wapi North Korea au USA?

Wa North Korea mkuu!. Unajua mimi kikwetu, ninafahamu kabisa wenye maneno mengi, huwa hawana nguvu. Dude lenye nguvu huwa liko kimya linaongea mara chache. Sasa haka kasikojaribiwa wa kule Korea, kameshaanza kutishia eti kakipigwa katachapa watoto wa mwenye nyumba wakitoka kuteka maji kisimani au kawafuate wakikata kuni!. Wapi na wapi?

Halafu mtu asiyejaribiwa huwezi kupima kibali chake kwa watu kufanya asemayo. Kwenye vita haiko hivyo.
 
Kwa sasa tunasubiri ripoti ya wenye vyeti feki
 
Wakifika hapo kwa NKorea wanaparuka mkuu
N.K mimi naikubali sana. Yule jamaa hana simile. Akipanga kufanya jaribio la silaha zake za Nyuklia hata mataifa yote makubwa yapige kelele namna gani yeye huwa lazima afanye.
 
NK katika kulinda nchi yao usiwaambie kitu hakuna cha mtoto wala mkubwa, hakuna cha raia wala askari. Kazi kazi tu.

Hata Tanzania tulishikamana sana si wakulima wala wazee, watoto hadi vibaka. Kila mtu alkuwa anajua kwenye kumtoa nduli, ndiyo sehemu ya kulala.

Pengien tujaribu kumtukana tukana yeyote hapa, tupime kama ile ari ya wakati ule itakuwepo leo.

Hako kamjamaa wewe ulishakaona kameingia vitani na nchi gani uone kwamba watu wote wanamshikamano wa moyoni kama si wa kuogopa kutokujaribiwa kwake? Ni vigumu kuamua ushindi wa vita kwa kuangalia show!.
 
Back
Top Bottom