Mshana kuna mpare jirani yangu ana mbwa sasa kwa sababu ya ubahili anajaza maji kwenye ndoo na kutupia mfupa wenye nyama kidogo. Mbwa katika juhudi ya kuufikia mfupa anajikuta ameshiba maji.Mtani wangu huyo anauchukua mfupa na kuuweka juu ya bati akingoja kesho yake. Yote hii kupunguza matumizi.