eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Wakati nusu ya hivyo hapo ni vya wizi
We mwenyewe mwizi acha kushutumu wenzio mshana mchawi
Wakati nusu ya hivyo hapo ni vya wizi
ili wapunguze machungu ya kushindwa. Hapa kazi tu
Mpaka Muda huu tunapoongea hapa Miss Chaga atakua hajiwezi kwa kuzidiwa na kilevi
Hahahahahaaa kama wewe ni mchagga ngoja nivumilie
Hahaha lakini hatuna shirika na wedhi
Mshana kuna mbwa wa pale Same kwa ukosefu wa maji wakiwa wameshikwa na kiu wakaona lami inavyomeremeta wakajua ni maji. Breki ya kwanza Kabuku kilichowaokoa walikuta mvua inanyesha ikawa salama yao.
Hahahahahaaa kama wewe ni mchagga ngoja nivumilie
Sio wedhi mtani kiswahili kisuri ni wesi.
Mkuu Unavyofikiria Sivyo, Wachaga Wengi Sasa Ivi Wamezaliwa Upya Kwa Kumpa Yesu Maisha Yao. Wameokoka.