Wachagga leo watakufa

Wachagga leo watakufa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,032
Reaction score
828,821
1451054410675.jpg
 
Nipo huku kwao aiseeeee nashindwa ku-upload photo hapa!Ni balaaa wajameni,yani kama photo inavojieleza.
 
Wapare pamoja na ubahili wao wote wanashindwa kujiachia, yaani hadi chakula cha familia baba anaumiza kichwa teh. Tutonga na bhajeti, bajeti?
 
Wapare pamoja na ubahili wao wote wanashindwa kujiachia, yaani hadi chakula cha familia baba anaumiza kichwa teh. Tutonga na bhajeti, bajeti?

Hahahahahaaa kama wewe ni mchagga ngoja nivumilie
 
Mshana junior namnan. Napenda sana wachaga wanavoheshimiana na wapareee. Samaki hoyeeeeeeez
 
Mshana kwani wapare hamna siku yenu...

Tuacheni tule ni halali hakuna ya wizi... hapo...

Hapo bado mwaka mpya... ni full furaha...

Long live Kilimanjarooo...
 
Back
Top Bottom