Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
Ni kweli ila inaniwia ngumu sana kutoa sababu. Hata ukifanya sensa ya harakaharaka utawapata wachaga wengi sana pale Kimara sababu ni nini? sifaham
 
kweli kabisa...wa dar lazima uwe na escudo
wa Moshi lazima uwe na pick up ndio unaonekana tajiri
 
Ni kweli ila inaniwia ngumu sana kutoa sababu. Hata ukifanya sensa ya harakaharaka utawapata wachaga wengi sana pale Kimara sababu ni nini? sifaham

Research Concluded.

hata Asprin na Teamo wanakaa kimara Temboni.
 
Ni kweli ila inaniwia ngumu sana kutoa sababu. Hata ukifanya sensa ya harakaharaka utawapata wachaga wengi sana pale Kimara sababu ni nini? sifaham

Sababu ni njia ya kuelekea nyumbani
 
Aiseeeee kweli kama baba naniiiiiii!
 
Ukiona Escudo Posta jua posibility kuwa ni ya Mchaga wa Mbezi kimara ni 80%

Kimara yooote mpaka Mbezi ni wao. wakienda/kurudi moshi wanmalizia kila ktu maeneo ya kwao hawahitaji kwenda Ubungo
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.

Kumbe!!!
 
wachaga wanapenda mbezi na kimara kwa sababu wakitoka moshi na mabasi wanashuka njiani badala ya kwenda mpaka ubungo,kitu kingine wamezoea kukaa vijijini kwenye migomba sasa kukaa magomeni au tandika kusiko na bustani hawawezi,kuhusu escudo sio kweli hiyo ni kila kabila
 
kimara pia wanapenda kwa aljili ile milima milima kama makwao
 
Aisee,Kimara na mbezi zmejaa kweli wachagga,kati ya petrol station ya resort na kimara mwisho kuna kimtaa kinaitwa Marangu street
 
Back
Top Bottom