Wachagga + Escudo + Mbezi kimara

Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
ile ya wababa wa kichaga kutembea na binti zao imeishia wapi?
 
Ni kweli Wachagga wanapenda Escudo na wamejaa Mbezi sio Mbezi beach!
Ni Mbezi, Kimara, Mbezi Temboni, Mbezi Bonyokwa, Mbezi Madale, huko ndio sehemu za Wachangga.
Escudo ni Four wheel drive, inafika vizuri Kimara sababu ya mabonde na makorongo ya bonyokwa na temboni.
Noa au Cresta, ngumu kufika zitakwama
 
tehe tehe tehe, VIVIAN twambie na sisi akina SHOMIRE NE BILATO BIKASHOMA tunaishi wapi? tunaendesha gari gani? umewavamia Wachaga tu. Kaka lete changamoto. Wapi BrazaKiiza jamani?
 
Mbezi Beach wapo wachagga wewe
Ni kweli Wachagga wanapenda Escudo na wamejaa Mbezi sio Mbezi beach!
Ni Mbezi, Kimara, Mbezi Temboni, Mbezi Bonyokwa, Mbezi Madale, huko ndio sehemu za Wachangga.
Escudo ni Four wheel drive, inafika vizuri Kimara sababu ya mabonde na makorongo ya bonyokwa na temboni.
Noa au Cresta, ngumu kufika zitakwama
 
Mbezi Beach wapo wachagga wewe

Mbezi Beach wapo ndio lakini sio kama Mbezi Kimara au Mbezi Temboni au Mbezi Bonyokwa!
Wamejaa Wachagga mpaka wanauwana kwa ujambazi wenye kwa wenyewe!
 
Alaf biashara za kitimoto mtayarishaji Mchagga, bar zote wachagga wamo muuzaji na wanywaji, maduka ukihesabu zimejaa sura za kichagga hata muundo wa maduka yenyewe yana utamaduni wa kichagga, mabaiskeli za kubebea mizigo ziko kibao ndo kawaida za wachagga kukwepa matumizi, totoz zote zinazopita mitaa hiyo zina sura za kichagga na hazichomekei mashati hayo hasa wanaume wa kichagga na raba za NIKE nadra sana kuzikosa mitaa hiyo Kirombo rombo!
 
Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?

Na ni kwanini?

Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?

ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.

Umesahau na wanapenda kuvaa magwanda toka mchaga mwenzao aanze kuvaa.
 
Umesahau na wanapenda kuvaa magwanda toka mchaga mwenzao aanze kuvaa.

Umelogwa na ccm hakianani.

yaani kila Topic unaiingiza unazi wa CCM?

Tunapenda jamani dada kupumzisha akili zetu.

Huku kwenye chit chat hatutaki siasa mamiiito.

please! please!!
 
Vivian, kwa kweli observation yako iko sahihi kwa 75-80%, mimi niko Kimara, majirani zangu 90% ni Wachagga, na kweli magari yao karibu 90% kila mtu ana Escudo.
Niliuliza nikaambiwa Escudo kwanza ni ngumu, four wheel, spare zake zinapatikana kirahisi na haili sana mafuta kama una maintain vizuri.
Natafuta mchumba wa kichagga na mimi nifaidi!
 
Umeonaeeee!!!

halafu avatar yako kiboko. huyu mtu ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom