Mh wachaga hawa hawa wasiojua kupika na mapenzi sifuri?
Yes,mimi ni fala hasa...Mzee soma uzi vzr mbnaa umepaniki fala ww
Unamtabiria ukiwa kama nani ?At the end of the day unakufa maskin
Yes,mimi ni fala hasa...
Fala nakuelimisha
Acha kukaa hapa unajipendekeza kwa jamii isiyokuhusu unaacha kutoa uzi hata mmoja kusema mazuri ya dada na mama zako waliokuzaa na kukulea mpaka hapo ulipo,upo hapa una shabikia wengine wako unawaona wa chini
Ni upumbavu
Yes,wachagga ni wazuri kama walivyo wengine wote,sio unakaa hapa kujipendekeza kwao unaadharau damu yako iliyokuzaa!
You got no respect from us,you do not value your own women and blood,fvck you!
Sell out motherfvcker!
Jiandae na nguo za kufua kwa hii comment yako!Hivi ni kweli kuwa wajane wengi pia ni wanawake wa kichaga? yani waume zao wameshantangulia mbele za haki?
amna biasness hapo hizo ni facts kabisa. mi nimetembea na makabila mengi ila maendeleo nimepata na huyu mchaga wangu. wengine walibez sana kwenye mapenzi halafu mapenzi yanachuja na kiuno kinazoeleka na mwisho unakikinai.
huyu nimekuta automatically napata shauku ya kuwa successful zaidi, wale wengine akili iligota kitandani tu.
Nina girlfriends wanane wote wachaga daadeq! 😂Dunia nzima hakuna mchaga mvivu.
Sisi wachaga ni waisraeli weusi. Jamii yetu ni jamii ya watu wenye akili nyingi sana
Ukipenda, chongo utaona kengeza!
Hao makabila mengi ulitembea nao hukuoa, ulitarajia maendeleo kwa kutembea nao tu.?
Anyway, ulishaingia ‘kingi’ ni muhimu kujifariji kuwa utashinda mchezo... piga kazi pesa zikuwe mingi kwanza ndo utaelewa.
At the end of the day unakufa maskin
Naunga mkono hoja. Kila mtu kwente ndoa naturally ana majukumu yake. Mwanaume kazi yako ni kutafuta riziki na mwanamke ni kumfurahisha mumewe na kuihudumia familia.
Ukidevela jukumu lako ukampa mwanamke jua lazima uendeshwe tu. Vijana wengi wanaoogopa majukumu wakakimbilia kuoa wanawake wenye kazi nzuri, biashara nzuri, au kuoa kwa kigezo cha "mwanamke wa kuniletea maendeleo" wamejikuta wanapoteza uhuru wao kwa wake zao.
Na hii inajionesha wazi kwa wake wa kichaga. % kubwa ya wanaume wanaooa wachaga kwa kigezo hicho wamejikuta wamepoteza sana uanaume wao. Yani mwanamke anakupiga gear vibaya. Mwanamke ndo ana sauti kiasi kwamba hata ndugu zako kuja kwako mkeo ndo anaamua.
Nafikiri sote tuna watu tunaowajua waliooa aina hii ya wachaga na mnaona jinsi hawa wanaume wao wanavyokuwa watumwa.
Ya nini kuwa boya eti kisa mwanamke anajua kutafuta?? Wanaume tujisimamie tutafute hela, la sivyo tutaishia kuendeshwa tu
Nina girlfriends wanane wote wachaga daadeq!![]()
Hawa kwa kuwa ni wapambanaji na wanapenda noti ukiwaonyesha hela hawachomoi hata kama wameolewa...unajilia kirahisiii....
jamaa anafight na "inferiority complex" yak3 ili kujipa aman kwamba kaoa mtu sahh lakn ukwel anaujua mw3nyeweUkipenda, chongo utaona kengeza!
Hao makabila mengi ulitembea nao hukuoa, ulitarajia maendeleo kwa kutembea nao tu.?
Anyway, ulishaingia ‘kingi’ ni muhimu kujifariji kuwa utashinda mchezo... piga kazi pesa zikuwe mingi kwanza ndo utaelewa.