ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,711
- 5,641
Katika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania.
Lakini kabila la wachaga linalokimbizana utajiri na Kabila la Wakinga, limeendelea kuwa juu, huku watu wawili wa kabila Hilo wakiingia kwenye top 10 ya matajiri zaidi Tanzania wenye asili ya Kiweusi asilia ya Tanganyika. Naweka Orodha hiyo ya matajiri zaidi Tanzania kumi bora Kwa udadavuzi zaidi. Huku Zanzibar nayo ikitoa watu wake Kaa Bakhrersa