Wachaga Special Thread

What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
Riwa kwanini utafute rafiki wa kike na siyo wa kiume!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii thread imenikumbusha Mamsera kwa Mwarabu. Jamaa anachoma mbuzi kiasi kwamba mbuzi wakimuana wanamwaga michozi. Nikiwa naelekea kwetu kuzuri lazima nisimame pale.

Karibuni kwetu Rombo. Kuna mtaa unaitwa Kiboro. Mi naupenda sana mtaa ule walahi..,

Yani chapchap sana Kaizer kuja pande hii tuangalie namna ya kwenda kufanya hija December.
 
Last edited by a moderator:
Namimi nitaanzisha "Wamakonde special thread" watu tunaakili za kuzaliwa, achana na wachaga wanaopata akili zao shule..
"proud to be makonde".
 
Alisema Nyerere Makabila yamebaki kwa ajili ya kutambika tu hamna kingine
 
Ni lugha yangu ila naaona aibu pale unapoamka asubuhi ukikitana na mama napaswa kumsalimu NANTOMA na nababa Unamsalim NANTOMBE da inakuwaga ngumu kweli hapo pengine sababu sijaizoea lugha Tuko nyie mnasalimiaje asubuhi
 
Last edited by a moderator:

Kibosho.... Ngiterewa muuda we nna!! Naomba maji ya kunywa
 
Kiboro siku hizi pamechangamka mkuu. Pana hadi kiplefti..lol
 
Last edited by a moderator:
Ni lugha yangu ila naaona aibu pale unapoamka asubuhi ukikitana na mama napaswa kumsalimu NANTOMA na nababa Unamsalim NANTOMBE da inakuwaga ngumu kweli hapo pengine sababu sijaizoea lugha Tuko nyie mnasalimiaje asubuhi

Sasa aibu ya nini mkuu. Mbona kikwetu ukimuagiza mtoto kuleta fimbo unamwambia enennde ------...
 
Last edited by a moderator:

Cc 2013 Nicholas Nyakageni MOSSAD II haya nyie wachaga njoeni mchangie hio mbege zenu huku!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…