Riwa hapo kwa kweli ni mtihani maana na dada zetu wenyewe kuongea ni balaa hata kama amezaliwa na kukulia kule atajifanya hajui kabisa kichaggaWhat I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
Tuko monowama hapo ni kama ndugu yanguHapa mshaniacha sasa... unaona? ila nimeelewa kidogo
aika = kaaho (kikwetu)
monowama = ?
Ruwa = Ruva
nakuringe = akuringe
umarise maka chu = umae mwaka u
necha = undusha
Dictionary ya kichagga inatakiwa iandikwe...
Riwa hapo kwa kweli ni mtihani maana na dada zetu wenyewe kuongea ni balaa hata kama amezaliwa na kukulia kule atajifanya hajui kabisa kichagga
Wengine hata sisi tunaibia ibia kile cha juu juu maana ukikaa na wale wabibi na wababu wa kichangaa unajikuta unamung'unya maneno
Tuko monowama hapo ni kama ndugu yangu
niomba madhi ya kunwaa!!
oooh... ok. Hiyo ni mwanamae au mwanandie... ukija Rombo
hahahahahaha mkuuu wapi aiseDah... Mnavyopenda vimwana vya Tarakea... Tarakea maeneo gani Shem?...
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga
Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?
Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"
Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....
hahahahahaha mkuuu wapi aise
Si unajua tunakutana mjini huku bana mambo yanamalizikia huku huku
Ila
ni sio mbali na pale stand mkuu Tuko
Sawa bana mkuu... siku ukijongea kusalimia wakwe upige honi ukifika maeneo ya kibaoni... walau upate mbege spesho kidogo pale... lita buku... kama bia.
Huwezi kubadilisha neno la kwanza....?mboo-nsafooo clemeeee..