Wachaga Special Thread

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,354
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga


Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi wenzetu wana lugha moja ya kikabila. Ila sisi tuna vilugha zaidi ya 10 tofauti! Kwa nini?

Kwa mfano mimi nikiandika kwa kichaga cha kwetu (kiseri) kusema "Naomba maji ya kunywa", ni "Nglihemba mringa wenywa"

Hivi kwa wale ambao sio waseri, hapo mtasemaje? (naamini lugha zitatofautiana sana)....
 

Umempata mchaga nini Tuko?

Hebu stua kwanza na hiki kitu afu uendelee kuwaita wachaga wenzako...........

:dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::A S tongue:
 
Ujakosea bestito inabidi tufanye maombi ya ziada hapa maaana
wataendelea kuanidika vitu vya ajabu bora tuanzishe sala hapa

khaaa!
Na m.bo.o tena humu zinatafuta nini ?
Hii sredi inahitaji maombi maalum!
 
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...
 
Khaaa!
Na m.bo.o tena humu zinatafuta nini ?
Hii Sredi inahitaji maombi maalum!

Mzee hapa akija mod wa kiswahili anaweza kufunga thread kumbe watu wanataja maneno ya kwenye bible kabisa...
 
What I hate about being a Chagga ni kutojua kiChagga...huwa najisikia am less of a Chagga kila wenzangu wakianza kukimwaga mitandaoni. Inabidi mitafute rafiki wa kike anayejua kiChagga nipige tuition! Am serious...

Mzee kuwapata madem wa kichaga wanapenda kukiongea nayo ni chalenji. Hawa dada zetu wa siku hizi wa kusema bharhabharha... badala ya barabara...
 
Aika monowama na Ruwa nakuringe umarise maka chu necha Mamndenyi

Hapa mshaniacha sasa... unaona? ila nimeelewa kidogo

aika = kaaho (kikwetu)
monowama = ?
Ruwa = Ruva
nakuringe = akuringe
umarise maka chu = umae mwaka u
necha = undusha

Dictionary ya kichagga inatakiwa iandikwe...
 

Hii inaitwa nalu... nimepatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…