Wachaga na maendeleo-impressed

Wachaga na maendeleo-impressed

mkuu masanja, ng'wanangwa! Hawa jombaaa wanachuma huku huku kwetu usukumani na kwenda kuendeleza kwao! Kwetu kinachoturudisha nyuma ni ushirikina maana ukitaka kupaweka vizuri hakuna amani, vinginevyo tungekuwa juu! Ila uchagani wako vizuri kuliko maelezo, wanachuana na uhayani! Big up sana mamangi! Nilikosakosa kuwe mkwe wenu kwa mpenzi wang vonneta!

kingine kinachowarudisha nyuma wasukuma ni wivu, chuki na roho ya kwanini sana! Hutaki mwenzako aendeleee.
 
Bila upendeleo wachaga wapo vizuri tizama biashara zao kaka akifanikiwa bac atavuta jamaa wajomba mpaka majirani hawana wivu hawaibiani na mwisho wa mwaka kila aliye vutwa mjini lazima ajieleze saving ipo wapi na mpango wa badae ni nini tofauti na makabila mengine akitoka kimaisha bac anataka akirudi kijijni abudiwee yeye tuu na hataki fungua milango kwa ndugu wengime asije pitwa au kijiji kikawa na wafalme wawili big up chaga pipo
 
kuna jamaa aliulizwa...

"samahani kaka... wewe ni mchaga?"

Akajibu.

"Dah! kwa kweli SIJABAHATIKA".

****Proud to be a chagga******

Dah... Nimekupa like ila acha nikomenti pia. Kila nikisoma nacheka... Eti 'sijabahatika'.......
 
Wakuu salaam,


jana nilibahatika kwa Mara ya kwanza kutembelea mkoa wa Kilimanjaro mitaa ya Marangu for the first time. Kwa kweli I was hugely impressed and I can only say big salute my fellow Tanzanians. I must say Mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa. Napenda sana kwetu na kila mwaka as long as it is practicable possible, lazima niende home na nifanye something positive. Ila Jana nimejifunza kikubwa in my life.


wengi wetu tunawajudge wachaga Kama selfish, conmen wanaupendeleo wa Watu wao nk. I personally have never believed in that. Lakini Jana I was really impressed na mwamko wa Hawa ndugu zetu. The streets are super clean, mitaa imepangika as if kuna some serious planning officers. Kila nyumba in garden nzuri, michongoma imekatwa kwa ulinganifu wa Hali ya juu. Migomba ina afya na most people look happy and seem to have hope and sense of purpose in life. Lami iko vizuri and super clean. Though some critics can argue kwamba wamependelewa na hizi lami, lakini kiukweli naamini hata hii lami isingekuwepo Watu wange kuwa vizuri tuu. Kila nyumbani kwa mtu kuna garden na bara bara nzuri inayofika mbele ya mlango. By the way most of these roads it's clear ni self initiatives za watu kujipanga na kuzitengeneza. Nyumba ni za kawaida ila very standard. Kiukweli, I wished watanzania wengi tungejifunza kwa Hawa ndugu zetu. Ardhi bado ina uoto wa asili, maji ya chemichemi ni mazuri hakuna mfano. Vyanzo vya maji vinatunzwa vema sana. Hakuna ufugaji wa ajabu ajabu. Naamini Hali ya hewa ya uchagani hata kwingine ipo..lakini chagas have mastered their destiny.

lengo la huu Uzi sio kusifia wachaga. Ila Napenda watanzania wenzangu tujifunze. Kiukweli huhitaji ruzuku kuwa na garden nzuri au kuwa na barabara nzuri inayofika kwako. Kiukweli, personally nimepata changamoto ya maendeleo. Mbezi na mikocheni kuna maghorofa mazuri sana lakini nje ya geti maji ni machafu yametuama. I never saw that in my Marangu trip. Watanzania tuache Kelele nyingine, tufanye kazi. Kiukweli Sasa naelewa kwa nini mchaga kila December lazima akahesabiwe. Kuna nyumba nimeona mgombani, I have never seen them in bongo! We can accuse the way we want...lakini I must say, you can't bit them, join them.

Kiufupi Nimekwenda Marangu nimeona, nimejifunza na naamini mazuri yatanisadia. Kwa kweli I say my fellow Tanzanians from Chagaland big up sana na don't listen to your critics. Chonga mbele. Taifa letu litaendelea kwa Watu positive Kama nyinyi. Hao wanaolalamika kila Siku tuwaache kwanza. Tufanye watajifunza.

pamoja sana na Jpili njema!

Masanja

Acha kuongeza chumvi mbona kuna maeneo mengi yapo hivyo hapa tz? kanda ya ziwa unatokea kijiji gani? au ndo wa huko umekuja kujifagilia hapa kupitia mgongo wa kanda ya ziwa? mi mwenyewe mke wangu anatokea hai ila huwa sina tabia ya kujikweza hivyo!
 
Marangu cha mtoto. Pita Uru, Kibosho Machame uone mambo. Huwezi kulinganisha Kil. na Morogoro kwa mfano.
 
Acha kuongeza chumvi mbona kuna maeneo mengi yapo hivyo hapa tz? kanda ya ziwa unatokea kijiji gani? au ndo wa huko umekuja kujifagilia hapa kupitia mgongo wa kanda ya ziwa? mi mwenyewe mke wangu anatokea hai ila huwa sina tabia ya kujikweza hivyo!

Roho mbaya haina posho.

Kama kuna sehemu unayoijua ni nzuri, tuambie na sisi tujifunze toka kwao.
 
Karibu tena
 

Attachments

  • 1404128011014.jpg
    1404128011014.jpg
    19.4 KB · Views: 222
ndugu ulichoandika ni kweli tupu,ila ni kwa uchache sana.
*chagga land ilipaswa kuwa mbali zaidi ya hapo ulipopaona
* miaka ya 1800 mwishoni kulikuwa na gazeti la kila wiki liliitwa komkyaa
*pia miaka hiyo kulikuwa na aina fulani ya chama cha ushirika...ambacho miaka ya 1934 kilikuja kuwa kncu ya mwanzo achana na hii ya (1984)iliyokaa kisanii.
*miaka hiyo hiyo ya 1800 mwishoni kulikuwa na nembo ya chagga ina akama ya mlima klm na chui anaruka juu yake.
*miaka hiyo ya 1800 kulikuwa na biblia ya kichagga
*pia vitabu vya nyimbo na makala mbali mbali zilikuwepo miaka hiyo karne 2 zilizopita.
*****kwa kifupi ndiyo waliobahatika kuelimika mwanzo........piga picha kwingine miaka hiyo kulikuwaje......halafu tufahamishe
 
Nenda tena na tena na tena utagundua mengi zaidi ambayo hukuyaona trip hiyo... believe me!
 
Roho mbaya haina posho.

Kama kuna sehemu unayoijua ni nzuri, tuambie na sisi tujifunze toka kwao.

Mkuu hebu waeleze..wanadhani hapa tuko kwenye ligi ya ushindani. Kama kuna mazuri na wewe ulikotembea please bring them here.
 
Marangu cha mtoto. Pita Uru, Kibosho Machame uone mambo. Huwezi kulinganisha Kil. na Morogoro kwa mfano.

Yaani mkuu hapo unasema hata Uru Kushumundu nayo iko vizuri? Haiwezekani!
 
Acha kuzalilisha watu mkuu,.

Kuna wenzako wengi sana hapa Jamvini wanatokea Kigoma usiwadhalilishe kiivyo.

lakini hata wewe una mkoa wako, kwanini usiusifie?

Acha chuki na roho mbaya za kijinga!

Kwa sisi ambao tumetembea sehemu nyingi hapa TZ Kigoma ni seheme mojawapo yenye maendeleo ambayo angalau yanaelekea ya uchagani.Mtu yeyote akifika maeneo kama ya Kalinzi au Manyovu au Kasulu ataelewa ni nini ninachokisema.
 
Back
Top Bottom