Wachaga na maendeleo-impressed

Wachaga na maendeleo-impressed

Acha kuzalilisha watu mkuu,.

Kuna wenzako wengi sana hapa Jamvini wanatokea Kigoma usiwadhalilishe kiivyo.

lakini hata wewe una mkoa wako, kwanini usiusifie?

Acha chuki na roho mbaya za kijinga!

wewe leo hii umeongea haya! Ama kweli nyani halioni...!?
 
Mkuu nilioa Siku nyingi huko mitaa ya kwetu. Kwangu kuko poa kaka...km 1200 toka Dar ila nakamata dstv kijijini...Uliza kingine bro.....

Mkuu Masanja, Ng'wanangwa! Hawa jombaaa wanachuma huku huku kwetu Usukumani na kwenda kuendeleza kwao! Kwetu kinachoturudisha nyuma ni ushirikina maana ukitaka kupaweka vizuri hakuna amani, vinginevyo tungekuwa juu! Ila Uchagani wako vizuri kuliko maelezo, wanachuana na Uhayani! BIG UP SANA MAMANGI! Nilikosakosa kuwe mkwe wenu kwa mpenzi Wang Vonneta!
 
Sure,mimi nimchaga wa marangu na najivunia pongezi zinazotolewa,nilikuwa sijawahi kutembelea sehem nyingine za uchagani kama machame,kibosho na rombo,nilipopata bahati ya kwenda huko,niliona pia jinsi walivyoendelea na kuishi vyema kuliko nlivodhani,hakika machame central njia ya machame road kule juu wanastahili pongezi kwa utunzaji wa vyanzo vya maji na mandhari nzuri inayoizidi hata ya marangu,ni jambo la kuwaiga,vijana ni wachapa kazi paka inapendeza,hongereni sana,pia nimebahatika kewnda tarime,sikutegemea uzuri wa mazingira na usafi kuanzia unapoanzia mto mara mpaka sirari,watu wako serious na mambo yao na kuna maendeleo tangible,hongereni wadau wa huko na ongezeni bidii katika kujiletea maendeleo!
 
Ukimaliza huko pitia na moshi "mji wa wagumu" i love my home land, i love chaggaland!!!
 
Acha kuzalilisha watu mkuu,.

Kuna wenzako wengi sana hapa Jamvini wanatokea Kigoma usiwadhalilishe kiivyo.

lakini hata wewe una mkoa wako, kwanini usiusifie?

Acha chuki na roho mbaya za kijinga!

Mpuuzi tu huyo na limbukeni!
 
Mimi siyo mchagga lakini nawa admire wachagga kwa maendeleo! Na nimecopy na ku paste maisha yao! Watanzania tungeiga tungekuwa mbali.... mind you siyo wizi lakini teh!
 
Karibu tena Marangu Masanja nikutembeze kwenye vivutio mbalimbali vinavyozunguka eneo letu
 
Last edited by a moderator:
msalimie
Mkuu rombo na. Tusker baridii.
_kule mara huwa kama hujajenga ukifa hawakupeleki mbaka pajengwe
 
Last edited by a moderator:
Jamani naona kuna wengine wamechukulia hii thread too personal kwamba nimetaka kudharau wengine. La hasha. It is simply a challenge kwetu sote. Tupambane. Mpake wengine wamesema natoka Kigoma (apparently Kigoma ndo mkoa maskini!) I care less. Irrespective natoka wapi..all in all give credibility where it is due.
 
Hehehehe najisikia vyema Sana naposoma huu Uzi...maana Ni nadra Sana kusikia mchaga amesifiwa. Uzuri Ni kwamba huwa tunachukua criticisms zenu kama changamoto na SI wepesi WA kulewa sofa.

binafsi PIA napongeza wakazi WA monduli. Ile mji nao unareputation isiyopuuzika.
 
Kilimanjaro yote watu wamestarabika,ila kigoma,tabora,inabidi mbadilike
 
Back
Top Bottom