Pale kariakoo,siku hizi Kuna mapambano ya kurogana Kati ya Wachaga vs Wakinga ....bonge la mechi,anayekataa kuwa wachaga siyo washirikina hawajui wachaga..
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.
Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.
Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka

unataka research ipi ??
evidence ya nini picha au maneno ??[/ ]
Yeye amesema no research no right to speak(ame-copy) amesahau kuwa ume-write na sio ku-speak.
Sasa hapa jf kuandika si ndo kuongea kwa mtu aweke evidence vizuri kaelewa ninacho maanisha huko kwingine ni kupindisha maneno

Kwahiyo hata mabubu waliopo jf kama wanaweza kuandika basi na kuongea wanaweza. Hii nayo mpya.
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.
Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.
Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?
Kwahiyo hata mabubu waliopo jf kama wanaweza kuandika basi na kuongea wanaweza. Hii nayo mpya.
Ndio kuandika ni mbadala wa kuongea hapa jf mabubu ni another case sasa
unauwakika gani kama walimuweka ndondocha