Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

Galadudu

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
2,306
1,225
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.

Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.

Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?
 
Kizimbuzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
1,572
2,000
Tunaogopa uchawi sana. Kama ni kisasi, tunafanya live. Kama ni kazi, tunaifanya kwa bidii na mafanikio yanakuja. Kutumia uchawi ni ishara ya uoga, na udhaifu.
 
Diva Beyonce

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
12,927
2,000
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka
Atakua na matatizo ya akili huyo mana mengine yana rithiwa wala hayahusiki na kabila lolote ni matatizo tu
 
Raycom mvungi

Member
Mar 22, 2013
79
0
mkuu umewachokoza ngoja waje kina massawe!!
we chalii ni ---- xana,kama hujui kitu kausha siyo lazima uandike,unakurupuka utakuja pasuliwa yai au wewe ndiyo ndondocha mwenyewe,watu tunapiga mzigo,ukizingua ngiki kaba kyandu! Ngashtuka chalii
 
Raycom mvungi

Member
Mar 22, 2013
79
0
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka
mama yako mdogo ndiye aliyemfanya mwanae ndondocha na una bahat ulikimbia ungetolewa wewe, si ndo tabia yenu watu wa nyanda za juu kusin! Bado huo siyo ushahidi wangekuwa wameoana wote wachaga halafu ikawa hivyo xawa bt si kwa mchanganyiko na hilo kabila lenu la wachawi mama yako mdogo mchawi tena inabidi hiyo ndoa ivunjwe kabisa,unatuletea mkosi kilimanjaro
 
Raycom mvungi

Member
Mar 22, 2013
79
0
mkuu umewachokoza ngoja waje kina massawe!!
we chalii ni ---- xana,kama hujui kitu kausha siyo lazima uandike,unakurupuka utakuja pasuliwa yai au wewe ndiyo ndondocha mwenyewe,watu tunapiga mzigo,ukizingua ngiki kaba kyandu! Ngashtuka chalii
 
chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,372
2,000
hawa watu ni wachawi wa biashara nawafananisha na wahindi na wahindi hawako mbali na nguvu za giza sasa hawa wenzetu sina uhakika sana kwenye biashara ila kwenye mapenzi haina ubishi ukidakwa hufurukuti unakuwa zuzu!
 
Mssesejunior

Senior Member
Nov 21, 2014
130
0
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka
Mkuu sitetei mtu lkn nataka kuelewa zaid ; kwamba wakati wanamwaribu kupitia huko kwa wachawi walikushirikisha ama ilikuaje ukajua hilo?
Lkn pia najiuliza watoto wote ndondocha wanatokana na uchawi mkuu ama ww ndo tafsiri yako binafs? vp kama na ww ukazaa mtoto abnormal tukuchukulie na ww mchawi?
 
Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Ukitaka kujua kama wachaga ni wachawi hebu angalia macho ya Dj Mbowe yalivyo utagundua kitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom