Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

Kama shetani yupo dunia nzima basi na wachawi pia. Ila elimu husaidia kutufungua macho. Jamii zizizo na elimu dunia ya kutosha ni rahisi kuzikumbatia imani za kishirikina.
 
Uchawi wao wamewekeza kwenye hela na ndyo mana kila mchanga ana mamluki na pesa tyuu...wachawi sana sana hawa maaliens(wachaga)
 

nadhani mleta mada katumia mlango wa nyuma kutuchokonoa, yaani yeye anataka watu waje watuponde, maana ni siku nyingi kama mwezi mmoja sijaona mchaga akipondwa humu, sasa naona kama likizo inaisha, nasema hivyo kwa sababu sidhani kama kuna kabila ambalo halina mbo ya kishirikina, na suala la kusema wachaga wanawafanya watoto zao mandondocha si kweli (ingawa wapo baadhi wanaoweza fanya hivyo, lakini hawawezi represent all chaggas), mtoto kwa mchaga ni asset, na huwa wanawa value sana watoto kuliko hata wake zao, waarabu ndo wana tabia ya kuwafanya watoto zao kuwaandondocha.....we don do that mayn!!!
 
Last edited by a moderator:
Yes
Wanaitwa 'viti'

Hapa naposali kuna dada 1 alikuja tu ktk kuhangaika ili mwanae aombewe alikuwa kafanywa hivyo na mjomba ake (kaka wa huyo dada) bt hii imekuja kujiulikana baadae baada ya maombi!
Hyu kaka mtu kamjengea nyumba na kamnunulia gari za bness dada ake! Watu wakijua ni upendo tu kwa dada ake coz kaka ni tajiri sana na alikuwa nje ya nchi!sshv karudi hana ht kumi....
Dada Kaja church. ....maombi yalipoanza tu ghafla cm yake ikaita na mchungaji akamruhusu aipokee tu hyo cm, kumbe alikuwa yule kaka ake, akamuuliza uko wapi, dada akamwelezea, akaambiwa amrudishe huyo mtt na asiombewe!
Ikabidi amwambie mchungaji na team yake, mchungaji hakumlazimisha akamwambia nenda!,bt kuna wamama wakamsema ndo akarudi church!
Baada ya maombi Mungu alimfungua yule mtt....taratibu akaanza kurudi kwenye hali yake....baada ya siku chache mjomba mtu kapiga cm kwa dada ake akamwambia'hii ndo shukrani yako kwa yote niliyokutendea?
Kwani umeshindwa kuzaa mtt mwingine na ukaniachia hyu?'
Hapo ndo dada akaelewa kinachoendelea! (Coz church huwa hawasemi kuepusha ugomvi)

Hiv navyoandika anko kafilisika na mtt mzima kabisa!

Hapa naposali mie wachaga asilimia 70 full kukamatana uchawi wakat wa maombi. ..zile nafsi huwa zinaongea
Hilo kanisa liko sehemu gani mkuu?
Xactly Physical location please..
 
Napenda kukujibu mtoa mada na wachangiaji mimi kama mchagga halisi nasema ni nadra sana kumkuta mchagga

mwanga na wala uchawi haujapewa air time kubwa Moshi ni kitu cha aibu na fedheha mtu kuitwa mshirikina kwa

wachagga tofauti na makabila mengine ambayo hayo ni mambo yao ya kawaida tu kama chai lakini kwa wachagga

uchawi na ushirikina ni kitu nadra na aibu sababu wengi wao hatuna na wala hatuyajui labda ungesema kusaka mali.

mimi sio najisifu wala nini lakini maisha yangu yote sijawahi kumsikia mganga mchagga wala sijahi kuona sehemu ya kuagulia Moshi uchaggani neveeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!
 
mkuu rafiki yangu alinieleza kuwa walivyokuwa wadogo wakiwanaelekea shule njiani walikuta watu wamepasua nazi na kuweka vihela katikati ya barabara na kufanya mambo yao ila jamaa walikuwa kama wanafunzi kama 7 hivi walipigana vikumbo sana kukimbilia kuokota zile hela na kula zile nazi hadi sasa jamaa ni wazima na hawana pressure na mtu.


wasinewezapata pressure au kuwa kuku wa kienyeji kwani hapa dawa ilikuwa ni hao watoto kuokota hizo pesa na kula nazi ili jamaa aendelee kuuza mali dukani kwake. Yaani hiyo ilikuwa ni sadaka tu. Wachagga bwana kwa sayansi za kijamii shikamoo zao.
 
wasinewezapata pressure au kuwa kuku wa kienyeji kwani hapa dawa ilikuwa ni hao watoto kuokota hizo pesa na kula nazi ili jamaa aendelee kuuza mali dukani kwake. Yaani hiyo ilikuwa ni sadaka tu. Wachagga bwana kwa sayansi za kijamii shikamoo zao.

Kaka utajiri ni nidhamu ya matumizi tu
 
tujikumbushe pia ni wachaga wangapi matajiri wa mjini ambao utajiri wao ni wa kumwaga damu
 
Kila mmoja atasema lake lakini ukweli utabakia kuwa ukweli.
Uchawi sio dili, watu wanaitafuta hela.
Issue ya kuwafanya watoto mandondocha sidhani kama ni jambolo lipo uchagani bali wanajaribu walio wachache kuiga tamaduni ambazo pia zinawatesa sana wanajaribu kufanya hivyo.
Sio watoto tuu bali hata wazazi wao!!!
Wachaga hawana asili ya uchawi bali wanaiga makabila mengine hata mimi nakiri. Hutaki potezeaaaa!!
 
Back
Top Bottom