Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

Kama kweli uganga ni deal, basi jiji la Dar lingejaa mabango yaliyoandikwa

"Mganga hatari kutoka Kilimanjaro anapatikana hapa"
 
Pale kariakoo,siku hizi Kuna mapambano ya kurogana Kati ya Wachaga vs Wakinga ....bonge la mechi,anayekataa kuwa wachaga siyo washirikina hawajui wachaga..

Mleta mada anazungumzia uchawi na c ushirikina. Kuna mganga mchagga?...wengi wa watu washirikina ni watu waliopata matatizo aidha ya kiafya, kiuchumi au hata kifamilia. Kwa mfano: kuugua muda mrefu bila kupona, kunapelekea MTU kutafuta njia mbadala ndio huko kwenda kwa waganga tena baada ya kushauriwa sana. Kwenye biashara baada ya kuona hali inakuwa mbaya. Kwa kifupi huwezi kwenda kwa mganga au kuwa mshirikina kama huna matatizo
 
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.

Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.

Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?

Basi we ndo bado mshamba hujatembea. Nenda Kilimanjaro utakutana nayo.
 
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka

unauwakika gani kama walimuweka ndondocha
 
mama yangu mdogo ameolewa na mchagga hapo kibaha mtoto wa pili waliharibu hadi nikawasusa sijaenda kwao mpaka leo hii sijui ushahidi gani unataka

Mama yako mdogo alijifunzia wapi uchawi? angalia asije akakifanya kikojoleo chako kikawa ndondocha....
 
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.

Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.

Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?

Hao jamaa ni hatai kweikwei mgoshi, yaani kufanya ndugu zao au watoto ndondocha ni kitu cha kawaida kwao, kwenye biashara zao kuna misukule ya kutosha yaani hawafai
 
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.

Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.

Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?

hujui kweli wewe

waganga wa handeni wote wamejenga kupitia pesa za mangi
 
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.

Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.

Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?

Ukitaka kuijua vizuri nchi hii jitahidi kutembea na kuishi mikoa mbali mbali, inaonyesha hujakaa kabisa sehemu za kilimanjaro
 
Nguvu yetu !!!!!!!
 
Attachments

  • 1418192713812.jpg
    1418192713812.jpg
    12.2 KB · Views: 376
Wachaga ni taifa la mungu, toka lini taifa la mungu wakawa wachawi?
 
Keleuwiii! Hakuna sehemu pana wachawi kama Uru. Anzia Uru yote Rau, Sokoni, Timbirini, Mawela, Kishumundu pamejaa wachawi hapafai.
Wamarangu kazi yao ni kuwatoa watoto mandondocha. Mtoto akivuja udenda dukani pesa inajaa.
 
Wachaga ni washamba wamesahau mila zao wakafuata mila za Kizungu!! uchawi ni mila za kiafrika walipokuja wazungu wakasema ni mila za kishenzi na wachaga wakakubali ndo maana hawajui kitu. Wamekuwa mazuzu kama wakenya wanavyoshobokea lugha ya kizungu!! (Slavery Language) hahahaha lakini mimi nimeoa mchaga naogopa akijua na mponda hivi!!! hahahahahahahahahah
 
Back
Top Bottom