Wachaga mnijuze, sijawahi kusikia uchawi kutoka kwenu

ni tabia ya mtu tuu...yeyote asiyejiamini anaweza kua mchawi...be it mchaga ama myeyote yule
 
Kuna hiki kitu wanaita "kimbola" kila ukipita kwenye biashara zao au kwenye mabaa yao utasikia jamaaa ana kuambia ...." Huyo ni kimbola wa flani" hivi kimbola ndiyo kinaleta fweza eeeh
 
Wachagga (walau waVunjo-wahanjo) hawana neno la asili la Uchawi. Wametohoa tu na kuuita usawi. Tangu kale wachagga wamekua wakinunua usawi toka upareni, Pangani na Handeni. Kuhusu hilo kabila zaidi soma kitabu "Wachagga: Duniani na Akhera" cha Petro Itosi Marealle (Mangi). Baadhi ya waliokua wachawi wenye uwezo 'wakamsaidia' Mangi kushinda vita, walipewa ukoo uchaggani.

Hata hivyo, baada ya wachagga wengi kukumbatia zaidi elimu, dini na bidii katika kazi, uchawi umepungua sana (bado upo kwa baadhi ya koo zilizoendelea kurithishana huo ujinga) kwani imedhihirika hauna tija. Ndio maana wachagga wengi hujenga kwao (waulize Wasukuma kwanini hawajengi kwao hata kama wana uwezo huo).
 
Kwa mchaga kwake cha muhimu zaidi ni pesa, na huitafuta kwa njia yoyote ile, iwe kwa ujambazi njia ambayo huwa wanaitumia sana toka zamani na hata kwa nguvu za giza. Iwe iwavyo kwao ni pesa mbele, we unayeogopa kuzitafuta kwa kuogopa utaitwa mchawi imekula kwako!
 
Tunaogopa uchawi sana. Kama ni kisasi, tunafanya live. Kama ni kazi, tunaifanya kwa bidii na mafanikio yanakuja. Kutumia uchawi ni ishara ya uoga, na udhaifu.


Mkuu siyo kweli. Nimekaa huko kwa miaka kumi. Nimejifunza mengi sana. Wachagga ni kama makabila mengine ya kiafrika. Hizo ni mila za kiafrika na zipo popote pale Afrika. Mimi mwenyewe nilidhani na kufikiria kama unavyofikiria wewe. Ni mpaka nilipokwenda kuishi huko ndo nilijifunza mengi sana.

Wanafanya kama wengine wafanyavyo na tena kwa level zile zile. Siyo wote lakini wanafanya. Hata huko kwengine siyo wote pia. Huo ni utamaduni wetu. Japo sasa hivi unapungua na kwa wenzetu wasukuma waliamua kuupunguza kwa kuwaua hao wahusika na imesaidia kwa kiasi kikubwa sana. Kwa majirani zao wapare ni zaidi ya ujuavyo. Ukienda huko Chome ni hatari kuliko.
 
Weeee,kuna kabila duniani washirikina kuliko wachaga?hakuna mchaga anayefanya biashara bila ushirikina maana kwa tamaa yao ya kila mtu kutaka mali kwa gharama yoyote ndugu na ndugu huchukuana misukule,pia wengine huwaroga wake zao na wengine huwafanya watoto wao mataahira ili tu wapate mali,mimi niko Sgd matajiri wa kichaga karibu wote hapa kila mmoja ana mtoto aliyemgeuza taahira au msukule ili wapate mali...mimi sinunui kitu duka ya mchaga,kiruuuuuu!

hiyo ni roho yako mbaya na husda
 
Weeee,kuna kabila duniani washirikina kuliko wachaga?hakuna mchaga anayefanya biashara bila ushirikina maana kwa tamaa yao ya kila mtu kutaka mali kwa gharama yoyote ndugu na ndugu huchukuana misukule,pia wengine huwaroga wake zao na wengine huwafanya watoto wao mataahira ili tu wapate mali,mimi niko Sgd matajiri wa kichaga karibu wote hapa kila mmoja ana mtoto aliyemgeuza taahira au msukule ili wapate mali...mimi sinunui kitu duka ya mchaga,kiruuuuuu!

Una uhakika mkuu kwamba hakuna mchaga anaefanya biashara bila ushirikina?
 
Back
Top Bottom