Wachaga bwana, hawatupi kitu!!

Wachaga bwana, hawatupi kitu!!

zaratustra

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
848
Reaction score
225
Kwa wale ndugu zetu wapenda ndizi (wachaga), hii imekaaje?
 

Attachments

  • WACHAGA BWANA HAWATUPI KITU!.png
    WACHAGA BWANA HAWATUPI KITU!.png
    234.3 KB · Views: 144
duuuh!hatari kweli kweli.ila hiyo gari kama inaweza kubeba kiasi hicho basi itakua noma
 
We mtoa mada mbona mnapenda kutujadili jadili ivyo?unaturusha stimu za kusaka mahela bwana.
 
Mmh! Hivi uchagani kuna minazi mingi kiasi hicho? Mi siamini kama ni uchagani hapo
 
Back
Top Bottom