Mie nipo hapa Dodoma,
Tangu waheshimiwa Wabunge waanze kuja Dodoma kwa kikao cha Bunge la Bajeti, kumekuwepo na ongezeko kubwa la mashangingi hasa nyakati za jioni kuja hapa chuo kikuu cha Dodoma na kuwachukua watoto na kuondoka nao. Wabunge wanawatuma madereva tu, wao hawaonekani!
Je hii ndo kazi ambayo wametumwa na wapiga kura wao? Na je kwanini wanawaharibia maisha watoto wa watu wakati wao wameoa na kuwa na familia zao? Kama wanahusudu sana Ngono kwanini wasije na wake zao?
Nawakilisha wadau!!!
kaka si useme tu kwa uwazi kwamba ulipokonywa ka demu kako? kwa nini unazunguka zunguka? punguza hasira kwa wabunge wetu njomba, hayo ni maisha yao private (kazi na dawa in case of) kwa hiyo usichanganye mambo.
Acha wawatumikie waananchi waliowachangua, na wewe next time kuwa mwangalifu, mwanaume halisi hanyanganyagwi demu kamwe!!