Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,052
- 71,359
Hapa Ndipo unaona Umuhimu wa Kua na Kiongozi Mkuu wa Nchi mwenye Akili kama Hayati, Mwanasayansi na Mzalendo wa kweli.
Bunge tulonalo limejazwa na Watanzania wengi Vichwa maji, Vitunguu maji kabisa, Mbunge anasimama kuongea unaona kabisa huyu kichwan mweupe.
Na Kwa sababu ya upeo wao Mdogo, wameishia Kupiga makofi kwenye Yale mambo mepesi na yahovyo hovyo, kwakua hayo ndo wanayoyaweza.
Lakini maajabu Wakisimama wenye Vichwa vyenye akili,wazalendo kama MPINA, GWAJIMA, kwakua Hawa wabunge wanaongea mambo mazito, makubwa yanayohitaji Akili, basi Utaona wabunge Vichwa maji ambao ni wengi wanakaa kimya, huwez sikia makofi ya kuunga mkono hoja za wabunge wenye akili, kwann?
Kwa sababu Wabunge Vichwa maji Huwa hawaelewi kinachozungumzwa na Wabunge wenye akili.
Wabunge Hawa Vichwa maji, waletee hoja za za kijinga utaona wanavyoisasambua!
SUALA LA WAZIRI, KUPEWA HAKI YA KUTOA MISAMAHA YA KODI KWA BAADHI YA WAWEKEZAJI KWA KIGEZO CHA "MWEKEZAJI MZURI" LISIKUBALIKE ,LISIKUBALIKE NA MTANZANIA YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU.
MAFISADI YANARUDI KWA KASI MPAKA YANATUNGIWA SHERIA.