Wabunge Wataka Gongo Ihalalishwe!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,725
21,781
WABUNGE WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA WAMELIOMBA BUNGELA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAIHALALISHWE BADALA YA KUENDELA KUIPIGA VITA....MBUNGE WA MAKETE DK MAHENGE ALIHOJI KWANINI SERIKALI INAIPIGA VITA WAKATI ZIPO BAADHI YA POMBE AMBAZO NI KALI ZAIDI YA GONGO....AKINUKULIWA ALISEMA KAMA SIKOSEI WAKATI KIWANDA CHA KONYAGI KIKANZISHWA MOJA YA DHUMUNI LAKE NI KUKUSANYA GONGO ZOTE MA KUTENGENEZA KONYAGI...ALISEMA MWANASIA HUYO NA KUSHANGILIWA NA BUNGE ZIMA......MBUNGE HUYO ALISEMA HIVYO BAADA YA MB MARTHA KUULIZA SERIKALI WANAMPANGO GANI KUTOKOMEZA POMBE HIYO.....LOH GONGO MAMA UMECHEMSHA......
ZIPO POMBE KALI KAMA VODKA NA NINMGINE NI HALALI KAMA NA ZINAENDELEA KUUZWA HADHARANI IWEJE GONGO IHALALISHWE?????ALIHOJI DK MAHENGE....
kada mpinzani upo,....naona wanazidi kukulinda
GONGO HARAMU HARWAMU??????????
 
Two Wrongs don't make it right. Mheshimiwa Dr. Mahenge, ingekuwa vema ukasisitiza mambo yanayowasaidia wananchi. Pombe vijijini kwa ujumla zinatakiwa ziwe controlled zaidi maana zinaharibu wengi vijijini.
 
alikuwa anahoji uhalali wa vinywaji vingine vikali dhidi ya gongo,je wewe unaonaje kama kuna vinywaji vikali zaidi ya gongo vi halali kunywewa kisha gongo si halali?
Mambo yanayo saidia watu ni pamoja na pombe kama mimi imenisaidia ila kama utapitisha kiwango too much of anything is harmful msemo huu utahusika,kwa hiyo hilo ni swala la individual who use that stuff to control oneself.Kama ukinywa hata kidogo ni tatizo kwako basi chukulia kama ni allergic food to you don't take it.Kama vile unavyokwepa chakula kinachokuzuru AKA allergic food
Kila jambo linamuda wake wa kujadiliwa ndugu kama ulikuwa ni wakati wa kujadili pombe basi wacha wajadili hilo ,usiite mambo yasionamaana.
 
Nadhani watakuwa wameshaona maendeleo wananchi watakayopata baada ya kuhalalisha gongo, si ajabu zile ajira milioni moja zinaweza kutokana na soko la kinywaji hiki maana kutakuwa na distillers, distributors, advertisers, consumers, huenda na exporters(si tunahitaji fedha za kigeni pia). Tunaweza kujipatia sifa kemkem kimataifa kupitia kinywaji hiki na hivyo forex ikamiminika nchini...
 
Suala la gongo hata serikali ikilipiga marufuku watu wataendelea tu kuitumia. Mimi ninachojua gongo inatumika vijijini na mijini kwa miaka mingi sana pamoja na kuwa ni uvunjaji wa sheria. Watu wamekuwa wakipika gongo na kusomesha watoto wao na kuweza kupata mahitaji mengine.

Mimi nafikiri badala ya kukataza gongo serikali inatakiwa kuwasaidia wananchi kubolesha kinywa hiki hili kiweze kuwa katika standard inayotakiwa.

Mbona pale Kampala tu unakunywa gongo kwenye baa na Hoteli mbali mbali na wananchi wanapata kipato?.
 
alikuwa anahoji uhalali wa vinywaji vingine vikali dhidi ya gongo,je wewe unaonaje kama kuna vinywaji vikali zaidi ya gongo vi halali kunywewa kisha gongo si halali?
Mambo yanayo saidia watu ni pamoja na pombe kama mimi imenisaidia ila kama utapitisha kiwango too much of anything is harmful msemo huu utahusika,kwa hiyo hilo ni swala la individual who use that stuff to control oneself.Kama ukinywa hata kidogo ni tatizo kwako basi chukulia kama ni allergic food to you don't take it.Kama vile unavyokwepa chakula kinachokuzuru AKA allergic food
Kila jambo linamuda wake wa kujadiliwa ndugu kama ulikuwa ni wakati wa kujadili pombe basi wacha wajadili hilo ,usiite mambo yasionamaana.

Ndugu Mutu,
Pombe ni kiburudisho kizuri sana kama kinakuwa controlled. Pombe kali ni kali kweli kweli, na madhara yake ni ya papo kwa papo. Kule umasaini wao wana grade za gongo. Masheree ambayo ndio kiboko, unakunywa tu kama una uhakika wa kupata kuku, mbuzi, kondoo n.k. ya kushushia.

Wengine wetu tumeshuhudia ndugu jamaa na marafiki wakiharibikiwa kutokana na ulabu, tena ule uliopimwa maabarani. Gongo unaweza kutengeneza kutokana na aina yoyote ya nafaka. Kwa hiyo upatikanaji wake hautakuwa na shida. Kama ikiachiwa inywewe kiholela, tunaweza, sio tu kusababisha vifo, bali pia tunaweza kuharibu jamii kwa kuigeuza kuwa ya walevi, hasa wakati huu mgumu wa kiuchumi, na pia kwa walalahoi.
 
Nakumbuka kampeni za uchaguzi wa mwaka 1995 Mrema kama kawaida yake akiwa mgombea wa kiti cha urais kupitia NCCR Mageuzi,akiwa Bukoba aliwambia kwamba akichaguliwa kuwa rais wa TZ ataruhusu gongo kiwe kinywaji halali.Alishangiliwa kwa nguvu na wananchi hao.

Mimi nakubaliana na wabunge kwa sababu gongo imepigwa vita miaka na miaka lakini mpaka leo watu bado wanakunywa gongo.Kimsingi Gongo ni kali tena sana tu na wala sio pombe ya kufanyia masiala hata kidogo.Naunga mkono pombe hii iruhusiwe isipokua watumiaji wa pombe hiyo waelimishwe juu ya matumizi yake na kwa kiasi gani mtu anaweza kutumia bila kuwepo kwa athari yoyote.Vilevile watumiaji waelimishwe juu ya vyakula wanavyopaswa kuvitumia au kuvila kila watumiapo pombe hiyo kali.

Kuruhusiwa kwa pombe hiyo kutapunguza matukio ya rushwa hapa TZ kwani polisi wengi sana wanafuatilia hawa wapika gongo na wakiwakamata wanaishia kuchukua kitu kidogo.Kama tunaweza kufuta adhabu ya kunyongwa vipi kama tutaruhusu au kuhalalisha matumizi ya gongo.Naamini watu hawa wakiruhusiwa kutumia gongo watakua waangalifu sana kwa sababu watakua na uhakika wa kupatikana kwa pombe hiyo tofauti na sasa wanaitumia kwa kujificha.
 
Gongo ni pombe hatari sana kama vile vodka, konyagi n.k Gongo inaua watu wengi sana hasa vijijini ninayo mifano mingi ya watu waliokufa kutokana na kunywa gongo. Kama tujuavyo vijijini ni sehemu ambayo kuna kipindi fulani ktkt mwaka kuna uhaba wa chakula huvyo watu hukosa balanced diet na pengine kuishia mlo mmoja kwa siku. Gongo is cheap ukiwa na sh 200 kijijini utalewa mapaka kesho yake hivyo ni affordable. Ni mara chache sana kumkuta mwanakijiji anakunywa vodka au konyagi is too expensive kwake. Wapo watu leo hii hawanywi gongo kwa sababu haipo au inapatikana kwa muda kwa kuwa inakatazwa. ili uipate ufanye kazi ya kuitafuta na hii inadiscourage matumizi yake. Which is good. tukiiachia tutapoteza wapendwa wetu wengi sana.
 
alikuwa anahoji uhalali wa vinywaji vingine vikali dhidi ya gongo,je wewe unaonaje kama kuna vinywaji vikali zaidi ya gongo vi halali kunywewa kisha gongo si halali?

Very strong argument, mambo mengine Tnazania, tunay-over due I mean Konyagi, si ndio gongo lenyewe, yaani yote ni maji ya mvuke ambao in one hand umetengenezwa kwa kutumia machine na another kwa kutumia machine za asili, lakini the results ni zile zile,

I mean gongo, kama cocaine kuna watu chungu nzima wanatumia kidogo na wako bomba, lakini ukizidisha yes kutakuwa na madhara, na this principle of too much works for anything hata beer, kwa sababu kabla ya kuweka sheria kama hizi serikali ilitakiwa kuwa na matokeo ya uchunguzi wa kisayansi ukiambatanishwa na nambaz, especially, nini matokeo ya mwananchi kulewa period na sio amelewa nini,

Mkulu Mutu, I am with you kwenye hili.
 
Mzee malecela alichangia hili suala kupitia swali la nyongeza. Ninachokiona mimi ni kuwa mzee huyu sasa ameamua kuikejeli serikali ya CCM kuwa kwa kuwa imeshindwa kufanya mambo makubwa, basi iendelee kushughulikia masuala ya wanywa gongo.
 
Mkomboti ipo kwenye daraja moja na Kindi, Mbege na mataputapu mengine yatokanayo na nafaka
 
Mtu wa Pwani:
Kule Chukwani kwenye kambi ya Jeshi ipo Gongo nzuri sana.... Then unakunywa pasipo bughuza yoyote...

Ghuba napo ni moto katika vilabu vya Gongo...
 
I love my country.... haya, sasa jamani kama point nyingine za maana zikiwekwa watu wanazuiwa kuziongelea eti ni "sensitive" basi tuongelee nywaji letu wanyonge, GONGO!! Ukweli ni kwamba gongo kama zilivyo konyagi, vodka nk zote ni pombe kali.... Sisi badala ya kuangalia nini cha kufanya kuiboresha tunaipiga marufuku right out bila kuangalia faida na hasara zake, hebu angalia hili:
1. Chupa ya skwashi ya gongo (approx 1ltr) ni maximum 800TZS, wakati konyagi (cheapest so called pombe maalumu)mbili (to make a litre) ni minimum 7000TZS
2. Ni konyagi kiasi gani (na hizo vodka etc) zinafika kule vijijini?
3. Gongo latengenezwa na wanavijiji - employment to the masses

bottom line gongo limewini hapo..... Kikubwa zaidi na very personal to me ni kwamba kwa sisi tuliosoma shule za sekondari nyanda za juu kaskazini (Kilimanjaro, Arusha, Manyara) miaka ya 70 na 80 Gongo sio utani likuwa ni lenyewe manake ukisema unywe bia silikuwa mbili tu Safari na Pilsner export (bei??), konyagi nalo lilikuwepo lakini ghali, so at the end of the day unachukua litre 5 ya mbege na squash bottle moja ya gongo, mix kisha unapata enough kukusetiri weekend!!! Tumedhurika, maybe lakini hatujafa nalo.... So swala sio kufungia bali kama mzee John alivyosema "Iboreshwe" na kama wanaJamvi waliotangulia walivyosema "Iboreshwe na kuwa controlled".......

Oooooops, do we need to discuss this Bungeni?? Well at this point in time nadhani it is a bit "BELOW THE BELT" kuna more pressing issues!!!!!

Ni mawazo yangu tu wakulu!!!
 
Dr. Mahenge ni Mbunge wa Makete jimbo ambalo Hayati Tuntemeke Sanga aliyeitaka serikali iharalishe matumizi ya mbegu za bangi kuwa kiungo katika mboga.

Ni miaka mingi imepita toka alipotoa hoja hiyo leo mrithi wake anakuja na hoja ya kuharalisha 'GONGO'

Baada ya kupitia tafiti kadhaa za wataalam imebainika kuwa Mbegu za Bangi zinaweza kutumika kama pain killers na kuwasaidia watu wanaoishi na VVU kupunguza maumivu yatokanayo na magonjwa nyemelezi na matumizi ya muda mrefu ya dawa kama d4T.

Gongo inahitaji mtaji kidogo sana kuiboresha na italeta faida kubwa kwa maendeleo ya Taifa, production, distribution, adverts, export N.K

Mzee malecela umefikilia kama upo under 30 BRAVO
 
MKUU MORANI 75 NAKUPA TANO;;;;;
UNAONAJE NIONGEE NA MKUU WA KADA
TUKUPATIE UENYEKITI WA BODI YA TBL
WALE WAZUNGU TUWATIMUE TUNAITAJI VICHWA KAMA NYIE
JAMANI TWENDE MBELE TURUDI NYUMA GONGO IKIBORESHWA WANANCHI TUNATOKA SI MCHEZO...YAANI HAYA MAMBO YA KWENDA KUOMBA BIA BAR YANAISHA MAANA GLASS MOJA TU UNAITAFUTA PEPO SWALA NI WEWE
UNEKUNYWA UKISIKILIZIA INAZIDI UNCHUNA UNAACHA WENZAKO WANAENDELEA...SASA ANGALIA GLASS MOJA SH 800...WANAKUNYWA WATU WAWILI......
BI5 SH 4500..MARA MBILI 9000....TUNAOKOA SH NGAPI JAMANI WATOTO AWAJAENDA CHOONI NA KUJISAIDIA NA KURUDI...HIYO NI HOJa tu jamani.....LoooooooooH!!!!!
 
Hapa kuna swala la controls na standards, serikali iwawezeshe hawa enterpreneurs kwa kuwapa vifaa vitakavyotumika katika viwanda vidogo vidogo vitakavyotengeneza "gongo" iliyopimwa. Kuna soko na ujuzi wa kutengeneza hivi vitu, watu watapika gongo whether serikali inaruhusu au hapana.Badala ya kuweka vikwazo ambavyo serikali haiwezi ku vi enforce, ni bora kuwawezesha wananchi halafu pia kuwaelimisha kuhusu madhara ya matumizi mabaya ya pombe.
 
Ahahahahahahaaaaaa.....hii lazima YourNameIsMine atakuwa ame-lobby....kwikwikwiiii
 
Back
Top Bottom