Wabunge wangapi wa CHADEMA hawakuhudhuria maandamano jana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wangapi wa CHADEMA hawakuhudhuria maandamano jana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Feb 25, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  WALIOKUWA MWANZA NIJIBUNI NATAKA KUANZA KUWAHESABIA SIKU AMBAO WANAMPINGA FREEMAN AIKAELI MBOWE WATAOPNDOKA WOTE

  kwa miguu yao wenyewe kama Kafulila
   
 2. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  So what?
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,148
  Trophy Points: 280
  Wengi tu. Kuna Wabunge wengi Chadema ambao ni makini na hawapendi hizo siasa za fujo na machafuko.

  Na si muda mrefu tutaona Chadema wakichafuana wenyewe kwa wenyewe kwa kupingana katika approach yao ya siasa.
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Freeman hajenda shule, ni bepar,i mbabaishaj, mkabila, mdini!
  Kafulila kapata ubunge (mafanikio) baada ya kutoka CHADEMA!
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  hujajibu swali langu .halafu hili swali sio la wana CCM so keep distance
   
 6. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  not sure
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Wishful drinking
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Wana majukumu mengine,pengine. Sio mpaka mkutano wowote wa mbowe sharti kuwepo. Wala hamna attendance sheet.
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,876
  Trophy Points: 280
  Kutokuhudhuria sio lazima kuchukuliwa kwamba ni kupinga. Wazee wa CCM wa Dar es salaam walikutana kuunga mkono tamko la JK kuhusu katiba. Je, unataka kusema wazee wote wa CCM Dar waliobaki ambao hawakuhudhuria, walikuwa wanapinga tamko la JK?
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  CCM ninini?Kinahusu nini hapa na kimekujaje??Mtoa mada anauliza habari ya CDM wewe unaleta mambo yako ya CCM haihusu man
   
 11. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  SIKIWAONA WABUNGE WA MWANZA PIA

  wenje na kiwia KAMA WALIKUWEPO ALIEWAONA ANIJUZE HAPA
   
 12. k

  kukubata Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikujua kuna vijana wengine kama vichaa yaana wanakaa wakiishabikia ccm inayotufilisi..........duh poleni kwa kushabikia upumbavu
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi vyombo vya habari vilivyo ripoti ni vigumu kuwaona wabunge wote na sitegemei kama wabunge wote watakuwepo huko.....Haiwezekani Wenje asiwepo ila inaelekea kuna kitu unataka kukisikia.....
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  KWA NINI WASIONEKANE BANA WAKATI KWENYE MKUTANO WANAKAA MBELE

  we sema walikuwepo au la???
   
 15. kyemo

  kyemo Senior Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Malumbano meeeengiii!
  Swali ni nani hakuwepo full stop!!!!
  Toeni majibu kama mnajua acheni porojo na ubabaishaji usio na maana
  Mnakuwa kama hamjaenda shule
  Jibu ndio au hapana!unaanza oooh! unajua! acheni ubabaishaji leteni majibu tujue
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  sifuri
   
 17. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  2peni basi majina ya waliokuwepo!!!
   
 18. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wewe ni nani, ukipata utafanyia nini?
   
 19. W

  WildCard JF-Expert Member

  #19
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ninachowasifu CHADEMA wanaelekea hawatamtupa Dr Slaa kama NCCR walivyofanya kwa Mh Lyatonga.
   
 20. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #20
  Feb 25, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  so what?? be straight forward!! au maji taka!!
   
Loading...