Wabunge wangapi wa CHADEMA hawakuhudhuria maandamano jana?

Freeman hajenda shule, ni bepar,i mbabaishaj, mkabila, mdini!
Kafulila kapata ubunge (mafanikio) baada ya kutoka CHADEMA!
fanya utafiti kabla ya kuongea elimu ya mbowe wewe huna ka unabisha fungua website ya bunge uone cv ya yake.
 
Jana ktk maandamano kulikua na vijana kidogo wapate kichapo toka kwa waandamanaji,kisa walikua na bango limeandikwa hivi: Tunataka bangi ishukebei sasahivi ukitoa bukukumi unapata misokoto kumi hakuna chenj,watu walikasirika wakata kuwapiga wakizani wametumwa na ccm iliyaonekane maandamano yakihuni,ila wakafatiliwa wakaonekana nivijana wa chadema kweli,hakika ktk msafara wa mamba na kenge hawakosi.
 
Back
Top Bottom