Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
unakosea mkuu!sio kwamba hakuna anayejua cha kufanya,ukweli ni kuwa WALIOPO HAWAJALI!!sisi mtaani hatuna umeme,unadhani na kwao wanaKATIWA?? Wao 24/7 umeme upo,full kiyoyozi tunahitaji viongozi wanaojali matatizo yetu! Kuna kila aina ya vyanzo vya umeme-maporomoko,upepo(singida),makaa ya mawe n.k?? Kwanini giza?? Hawajali+Ufisadi na Ukuu!! Wao kwenye mwanga sisi gizani kwa sababu wao ni wakuu na sisi ni WATUMWA!? It is enough,TANZANIANS WE HAVE TO WAKE UP!!Vyovyote vile ukweli unabaki kuwa hakuna ajuaye cha kufanya kwani haya matatizo si mapya. Au ni mapya?