Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 811
Kelele za Peoples' Power, Peoples' Power, Peoples' Power, Peoples' Power! It was nice.
Tutaona kama kweli hawataipitisha hiyo bajeti!
sasa hapa atajua kuendesha maguta ni kazi nyenye kumfanya mtu atunze mkeKama Katibu Mkuu anaweza kutafuta shilingi milioni 50 toka kila taasisi iliyo chini ya wizara kwa ajili tu ya ku-lobby kupitisha budget ya wizara kwa nini asingetafuta pesa zaidi (hata toka kwa taasisi za wizara nyingine na hata kampuni binafsi) kwa ajili ya kununua mitambo ya kuzalishia umeme? Kweli kuna watu wana akili zisizo na akili!
Jana kabinti ka miaka 6 kalitamka "Jamani kikwete anaboa! kila siku anawaambia tanesco wakate umeme kwetu!". Niliishia kucheka na kumhurumia JK.
wasukuma bana...teh tehI am going to defend Ngeleja till the end. All of his predecessors knew about the problem and did nothing to fix it once and for all. Now all of a sudden Ngeleja is the villain. If his predecessors couldnt do a damn thing why then they are not getting their share of the blame? In my view there is plenty of blame to go around and the buck stops at the very top.
If Ngeleja has to go so does his boss who once headed that ministry himself and did jack shit to fix the problem. These problems didnt just start when Ngeleja became in charge of the ministry.
Bunge limeridhia kuahirishwa kwa mjadala.
Imeahirishwa....!Kwa akili za wabunge wa CCM wakiipinga hiyo bajeti watadai watawapa mtaji wa kisiasa CHADEMA bora iende tu
wasukuma bana...teh teh
Souce Mizengo Pinda Bungeni leo!
maboksi yanapumbaza jamaniTatizo la wengi ni kumbukumbu fupi na misplaced indignation. Bakini jinsi mlivyo.
David Jairo hana kazi.......Ni aibu kwa kweli...Nawapongeza sana wabunge wote kwa msimamo huu wa pamoja bila kujali itikadi zao.....Natamani hoja zote zingekuwa zinapitishwa kwa msimamo wa aina hii...
Wakuu,
Taarifa niliyoipata toka kwa source wetu ndani ya kikao cha CCM huko Dodoma zinashtua kidogo.
Wabunge wa CCM wamepandisha mori wakitaka Jairo (Katibu Mkuu wa Wizara) atimuliwe na wakaendelea kutishia kuwa hata Ngeleja naye anatakiwa kuachia ngazi.
Wabunge wa CCM wamemtaka Jairo ajiuzulu kutokana na kashfa ambayo imeletwa na Shelukindo juu ya Barua aliyoandika kuzitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini zitoe 50mil kila moja ili kupata pesa ya ku-lobby ili bajeti ipite.
Wameitaka serikali kupunguza 20% ya bajeti za 'Other Charges' na pesa zote za kujenga majengo ya Wizara ili ziende kwenye UMEME ama vinginevyo bajeti haipiti na Ngeleja atatakiwa kujiuzulu mara moja.
UPDATES:
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kaomba mjadala uahirishwe mpaka baada ya wiki tatu ili waweze kujipanga upya. Kaonyesha kusikitishwa na kitendo cha Jairo na kasema ingekuwa ni kwa hiari yake (bila kumsubiri rais) angechukua maamuzi haraka sana
Kuna lolote N.geleja na wizara yake atajifunza hapa kuhusu kauli za Kakobe dhidi yake? Hamkuumbwa ili muamini wala hamtaamini mamlaka ya Mungu kwamba inazitawala serikali za dunia hata mtapoondoka duniani..Wabunge wa CCM wamemtaka Jairo ajiuzulu kutokana na kashfa ambayo imeletwa na Shelukindo juu ya Barua aliyoandika kuzitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini zitoe 50mil kila moja ili kupata pesa ya ku-lobby ili bajeti ipite.Wameitaka serikali kupunguza 20% ya bajeti za 'Other Charges' na pesa zote za kujenga majengo ya Wizara ili ziende kwenye UMEME ama vinginevyo bajeti haipiti na Ngeleja atatakiwa kujiuzulu mara moja
wasukuma bana...teh teh