Zile ni pesq zetu za walipa kodi na sio za mangufuli wewe.
Acha wazichukue ili chama kikue zaidi.
Barbarosa hiyo Posho hawalipwi kama hisani bali ni stahili yao inayotokana na wao kuchaguliwa na wananchi, pia Magufuli hana hiyari ya kuwalipa au kutokuwalipa kwani hata yeye hizo pesa hazitokani na kuuza Mifugo ya Familia yao bali zinatokana na Kodi tunazotozwa watanzania wote waliomchagua na wasiomchagua Magufuli!! Na wala hizo Posho hazitokani na fedha zilizopatikana kwa kuuza kadi za CCM hivyo wabunge toka vyama vingine wakose sifa za kupewa!!
Kutokwenda kwenye sherehe za kuapishwa kwa Magufuli hakuko Kikatiba bali hizo posho zinatokana na sheria zilizotungwa kwa kufuatisha Katiba iliyopo inayoshabikiwa na CCM hata kama ni Hovyo kabisa!! Kuna ujinga miongoni mwetu kuona kama serikali inafanya mambo kwa hisani jambo ambalo si sahihi.
Kwani kura za Urais ndizo kura za ubunge?
Aina hii ya wanasiasa iliyonayo ACT ndio sababu huwa naamini chama hiki kitapotea haraka sana...
Bungeni kwenda kutetea wananchi au kwenda uwanja wa taifa kipi bora
Wana apa kwa jina la nani??? acha utani aiseee hata kiapo cha juzi Magufuri ka hapa kuwa mtumishi wetu. ambao wana hapa kuwa watiifu kwa Rais ni ma Askari tu bwanaLakini Wabunge wote wataapishwa kwa Jina la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa TanZania ambaye wao ukawa hawamtabui, sasa hapo itakuwaje?