Dah, hata wewe?!Kuongozwa na akili ndogo haya ndio matatizo yake..
Dah, hata wewe?!Kuongozwa na akili ndogo haya ndio matatizo yake..
Ushauri mzuri sana; lazima kubalansi mambo! Rais akitokea upande A na upande B upate wabunge wengi na wale Wabunge wa mipasho wasirudi tena! Ukawa juu juu zaidi!
URIE tu leo hakuna wa kukupa tuition, jaribu tena kesho. Page 15 watu kibao wamesoma wameelewa kilichoandikwa na wengi kuchangia, wewe graduate wa elimu kata bado unatokwa na povu. Jaribu kesho labda utampata atakayekuwa tayari kukupa tuition ili nawe uelewe kinachojadiliwa kwenye uzi huu. Unaweza kuhamia kwenye uzi mwingine ambako hata elimu kata kama wewe ataelewa kilichoandikwa.
230m wanaostahili kuzipokea ni wabunge wa UKAWA,magamba hawastahili kabisa,kazi ya kuwawakilisha Wananchi imefanywa vizuri na UKAWA!
Ubungo tunamtaka Mnyika 2016-2020
Singida tunamtaka Lissu 2016 - 2020
Akili za matope hizi, usitoe watu kwenye hoja
Vipi kuhusu kupewa Milioni 230 ya dhuluma kila mmoja pia wamegoma na kutaka kutoka Nje?
Mkuu mtu anapouliza swali kuwa muungwana kujibu ulichoelewa wewe. kama huwezi unakaa kimya sio kukurupuka na majibu ya kipuuzi. Mleta mada amesema Mnyika ametamka kuwa wamepinga Kuletwa kwa dharura na kwa pamoja miswada yenye faida kubwa kwa nchi...wewe umeelewa nini hapo? tazama hapa chini nimekuwekea quote
Kwa kile wanachokiita wanaburuzwa, Wabunge wa UKAWA kwa pamoja wamegoma kuendelea na bunge na wote kuamua kusimama baada ya kupinga uwasilishaji wa dharula wa Miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji "Extractive Industries".
Ni baada ya John Mnyika kuomba Muongozo juu ya uvunjaji wa kanuni za bunge. shuguli za leo zimekiuka kanuni kwani miswada imewekwa ikiwa sambamba. anasema hoja ikishatolewa ni lazima ijadiliwe iamuliwe ndo itolewe hoja nyingine, lakini leo zipo hoja tatu kwa pamoja.
Mnyika kasema na huu Muongozo sitaki useme utautolea ufafanuzi siku nyingine kwa maana hatuwezi kuendelea kufanya kazi ambazo zimevunja kanuni.
Wanapinga kuwasilishwa kwa dharula na kwa pamoja Miswada yenye manufaa makubwa kwa nchi.
Miswada wanayo pinga na iliyo wasilishwa kwa pamoja ni;
1.Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015):
2.Muswada juu ya Usimamizi wa Mafuta na Gesi, 2015 (The Oil and Gas Revenues Management Act, 2015):
3.Muswada juu ya tasnia ya Uziduaji Tanzania (The Tanzania Extractive Industries Act, 2015): The Tanzania Extractive Industries Act, 2015.
Hata baada ya Spika kuwataka watoke nje kama hawataki kuendelea, Wamegoma na kusimama na kuanza kupiga kelele hadi Spika akaahirisha bunge. UKAWA wamesema mwanaharamu hapiti leo.
Bonyeza HAPA kusikiliza kilichoendelea bungeni.
Na wewe unaongozwa na Control Remote!Makinda yupo tu pale Mbele anaongozwa kwa Remote control
Wewe kilaza acha wehu wako hapa, zezeta baba yako na hujo kwenu acha kutusi chama dume wewe mwehuIle mizezeta ya ccm ilkuwa inapiga kelele tu hata kilichokuwa kinabishaniwa hawajui, ni mzigo mkubwa kwa taifa kuwa na wabunge wengi wa ccm bungeni
Kiko wapi leo yote inapita kiubweeteee