nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,386
- 2,151
Nimepata burudani sana video ya ukawa na spika wa bunge leo mjengoni, hakika ukawa mnatisha. Kazeni uzi hawa jamaaa hawafai tomechoka sasa.
Kwa mujibu wa malezo ya Mnyika ni kwamba kwenye semina ya bunge walikubalina wabunge wote kuwa miswada hiyo isisomwe kwa hati ya dharura kinyume chake ilitaka kusomwa leo hivyo mnyika akaomba muongozo hapo ndipo mama makinda akangaka kwa hasira eti kwanini analazimishwa kutoa muomgozo ndipo Wabunge wa ukawa wakapinga kwa kusimama juu, Makinda akagikiri wanataka kutoka nje ndipo lisu akasema hatoki mtu.
Ghafla makinda kazira bila hata kutoa kauli ya kuhairisha bunge huyo akaanza kutoka.
Wapi! wananchi huku nje tunapima kama kelele za kutetea ufisadi ITAKUWA WANAJIZIKA WENYEWE. BALI KAMA NI KWA MASLAHI YA NCHI TULIOWATUMA KAZI TULIOWENGI KAMWE HATUTOWALAUMU. Angalia mfano kwa thread hii.kama kila upande utakua unadondosha miswaada makusudi,hata hiyo katiba kupatikana haitapatikana kamwe hata kama watawala watakuwa wa ukawa,maana utamaduni sasa ni kusimama bungeni na kupiga kelele mpaka bunge linaahirishwa
Mimi nataka wagomee na Zile million 230
Kumbe inawezekana watu kugoma bila kutoka nje hadi Bunge likaahirishwa! Hii habari ya kususia bunge imetugharimu sana huko nyuma wakati inawezekana kabisa kukubali kutokubaliana hata kura zizipigwe wala muswada kupitishwa..
Nachotaka kuuliza UKAWA wamepinga nini kuhusu muswada huu wa Gas na Mfuta? kwa sababu umeletwa kama muswada wa dharura au kwa sababu hawakubaliani na yaliyomo?
Miswada mitatu ijadiliwe na kupitishwa ndani ya wiki moja? Kweli nchi imeoza, mihimili mitatu yote bure kabisa...kuanzia Rais, Bunge hadi Mahakama. Miswada mitatu tena ya manufaa kwa nchi mnaijadili wiki ya mwisho ya bunge!!! Makinda patheic kabisa.
Na bado, come October upinzani ukiwa na viti vya kutosha bungeni serikali itaisoma namba...tunataka 50%-50% bunge mkome kuinyonya nchi.
Asante kwa kunirekebisha..Ikiwa hivyo tutakuwa na bunge lenye heshima na serikali itabanwa vilivyo...Kaka samahani..., tunataka UKAWA 55%, CCM 45%....
Aim high always ...
Maana yangu ni kwamba hata huko nyuma hawakutakiwa kukimbia Bunge, mbinu hii iliyotakiwa waitumie huko wanasimama kidete hadi kieleweke. Ndio ilikuwa Lugha ya Chadema miaka yote - Tutabanana humu humu hadi kieleweke au sivyo!Mkuu Mkandara kwenye Vita haitakiwi kukariri mbinu ya Vita hao jamaa wa CCM nawao walitegemea hivyo kwamba Jamaa watatoka lkn mwisho wa MADAME ndo kakimbia KITI
mambo taratibu kwa wakati muafaka sio kukurupuka goma goma. Ngoja wakati wa kugawa uone UKAWA watazifanyia nn.Wewe ulishakufa siku nyingi sana, umebakia na fuvu tu.
Kumbe inawezekana watu kugoma bila kutoka nje hadi Bunge likaahirishwa! Hii habari ya kususia bunge imetugharimu sana huko nyuma wakati inawezekana kabisa kukubali kutokubaliana hata kura zizipigwe wala muswada kupitishwa..
Nachotaka kuuliza UKAWA wamepinga nini kuhusu muswada huu wa Gas na Mfuta? kwa sababu umeletwa kama muswada wa dharura au kwa sababu hawakubaliani na yaliyomo?
kwa kazi ya leo UKAWA wabunge wake wana kila haki ya kubeba hizo mil. 233/ sio hao wa ccm wa kusema ndioo wakati nchi inauzwa. Wameokoa nchi isipelekwe kifisadi. mnaotetA HAMNA HOJA.mkuu haya yote manasiasa ya afrika ni hovyo nigewaona wote wa maana kama wagepinga kuripwa posho ya 230 mln kwa utumishi wa miaka 5,wakati sisi watumishi tunalipwa 70-90 kwa miaka 30.hawana dhamira ya dhati,
Hiki ndicho kilitakiwa kufanywa wakati wa BMK wanaume hawakimbii wanapambana
Huyu Mama kweli Ana Makinda.
hili bunge bila wabunge wa upinzani ni muhuri tu wa mambo ya serikali...