Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
943
Reaction score
186
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.

Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..

Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..
 
Huyo mzee wako mstaafu ameshawahi kupimwa akili yake?
Hao anaowaita mamluki ndio wanaomnyima usingizi Kikwete, Mama Salma na Ridhwan.
 
Sisi CHADEMA huo ndio utaratibu wetu.Tunatafuta umaarufu kwa kutukana bungeni na kuandamana bila kusahau kunyang'anya wake wa watu,sisi chadema ni vijana wenye nguvu sana kiasi kwamba ili kuipunguza nguvu tuna sera yetu ya full 'kugegeda'na ikigoma kugegedwa kwa democracy tunakubaka.
 
you spent much time more energy to write speechless.
 
Huyo mzee wako mstaafu ameshawahi kupimwa akili yake?
Hao anaowaita mamluki ndio wanaomnyima usingizi Kikwete, Mama Salma na Ridhwan.

Hii ndiyo nidhamu ya wana CHADEMA na viongozi wao, hawashauriki, hawajibu wala kuchangia hoja wao majibu kwa hoja ni kukashifu.
 
Huyo mzee wako alikua ana umri gani wakati anakuambia hayo??

Na wewe uliamua kubeba kama dodoki kila ulichoambiwa???
 
This is A BLESSING IN DISGUISE maana Li-Chama letu CCM litaendelea kutawala MILELE.

Sijui mapovu yote haya nini wakati CHADEMA inaendelea kulijenga li-Chama letu.

Zidumu fikra za mwenyekiti, Zidumuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hii ndiyo nidhamu ya wana Chadema na viongozi wao, hawashauriki, hawajibu wala kuchangia hoja wao majibu kwa hoja ni kukashifu.

ukipanda boga utavuna boga sasa kama mtu kaandika upuuzi unategemea busara.....tanzania hatuna maji yaaani runing water ,dawa bara bara,waalimu....nk .
lakini mbunge wa CCM anaenda bungeni kuuliza nini tofauti ya asali ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa

Mnavyo mshambulia!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyo mzee wako alikua ana umri gani wakati anakuambia hayo??

Na wewe uliamua kubeba kama dodoki kila ulichoambiwa???

Itakua huyo mzee alikunywa maji ya bendera kitambaa cha kijani na kanembo flan ka njano ka jembe na nyundo
 
umemdhalilisha bure huyo mzee wako.
ETI ? HAKUNA UPINZANI?
mbona unajichanganya,unasema hakuna upinzani na hapohapo unataka mbowe na slaa watoe ushauri,sasa ushauri wa nini na kwa faida ya nani?
KAWAPIGIE KURA WALIBERALI 2015,na ukachukue na kadi ya uliberali ili uwe mwanachama kamili.
 
U-liberali sasa imeshakuwa kama u-masaburi.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja tz hakuna upinzani wengi wa viongozo na wabunge wa chadema ni mamluki wa ccm wako katika kupoza kuwa tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa chadema ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani tanzania ili watu waone chadema ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa chadema bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu chadema kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama wenje,lisu,mbilinyi,lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga chadema lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..chadema sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda chadema lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..
Duuu!kwa hiyo ww na mzee wako chama makini na chenye maadili ni kile kinachounga mkono usagaji na ndoa ya jinsia moja! kwako ww na mzee wako chama chenye maadili na kinachokubalika na wananchi ni kile kinachong'oa raia meno,kucha,kuua raia, ufisadi,ujangili aka majambazi. kama ni hivyo ww na mzee wako mnafi.....na ni majambazi. cdm iko juu na hakuna mtu wa kuwasimamisha.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja tz hakuna upinzani wengi wa viongozo na wabunge wa chadema ni mamluki wa ccm wako katika kupoza kuwa tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa chadema ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani tanzania ili watu waone chadema ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa chadema bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu chadema kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama wenje,lisu,mbilinyi,lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga chadema lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..chadema sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda chadema lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Nimewachunguza nikagundua viongozi wa CHADEMA wana matatizo ya aina moja, tufanye mpango wa vikao tuanze kuwapatia mke mmoja baada ya mwingine hao CHADEMA. Huwezi kuishi kiselasela ukawa mkamilifu kimwili, kiakili na kiroho.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja tz hakuna upinzani wengi wa viongozo na wabunge wa chadema ni mamluki wa ccm wako katika kupoza kuwa tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa chadema ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani tanzania ili watu waone chadema ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa chadema bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu chadema kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama wenje,lisu,mbilinyi,lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga chadema lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..chadema sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda chadema lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Hujielewi unakurupuka tu
 
Back
Top Bottom