Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

no research no right to speak.wafuas na wanacdm wanajua mambo meng xana tofaut na nyie wa vyama vya kiliberal.hapo sasa ndo lnakuja suala la ubsh,ukorof,ujuaj kwa sabab cwez kuwa kmya et kwa kua mwenzang hajui k2,ubsh unatokana na ce kua MULTIPURPOSE
 
mkuu unakosea sio kila kitu unacho ambiwa na wakubwa tena wastaafu ni cha kushika...mfano mm yupo mzee mstaafu katika wizara nyeti alisha wai niambia JK ni mmasai, ni mtoto wa njee ktk familia..yani babake ni mmasai, na pia Mkapa ana asili ya msumbiji yani wazaz wake wamezaluwa msumbiji..vitu kama hivi sio vya kuamini na kkufanya ulete thread humu.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja tz hakuna upinzani wengi wa viongozo na wabunge wa chadema ni mamluki wa ccm wako katika kupoza kuwa tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa chadema ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani tanzania ili watu waone chadema ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa chadema bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu chadema kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama wenje,lisu,mbilinyi,lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga chadema lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..chadema sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda chadema lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Ukipepeta pumba tunachagua chuya
 
Mbona unatoa ushauri kwa Mbowe na Slaa wakati ushasema ni mamluki wa CCM...aaargh we ndio mamluki!
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

mkumbushe mzee wako kuwa wakati ni ukuta asome maandiko ukutani tunasonga mbele kauli hizi zilisha pita na wakati siku nyingi sana kama yuko ndani ya chadema kama mamluki ataburutwa sana hawana jipya ,mbinu zao za kale zimechuja
 
Kwani waliberali hawaruhusiwi kutoa maoni yao ? Mwacheni na yeye ajinafasi !
 
Kibe,You be better be prepared when you come up with this kind of nonsense.Deep down you admit that CCM & CHADEMA descrepancy is far way bigger than you trying to depict here.Nice try though!
 
Huyo mzee wako alikua ana umri gani wakati anakuambia hayo??

Na wewe uliamua kubeba kama dodoki kila ulichoambiwa???

Kaka yake babu wa Loliondo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Nasikia unasubiuria kuja kuoa mjukuu wa mkuu wa kaya
 
Pole sana ndugu yangu ILA mawazo kama hayo kwa CHADEMA si mageni! Kama wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM, basi CCM si chama cha kupigiwa mfano nchini! Ni chama kinachihonga wabunge wa vyama vingine!CCM ni chama cha watoa RUSHWA!
Kwa upande wa pili,nataka kujua JANA kulitokea nini ambacho wewe na WAJINGA wenzio mliona cha kuistahilisha CHADEMA UMAMLUKI?!Wewe unajua misingi ya LIBERALISM au ni KILAZA tu! Wakati CCM walipokuwa wanasema CHADEMA wanapokea misaada kutoka kwa MASHOGA, mlichukua hatua gani za kuikaba CCM, kama ambavyo jana mliikaba CHADEMA?!
Tatu, kuonesha kwamba wewe na wenzio mnapungukiwa weledi, umesema WABUNGE wa CHADEMA ni MAMLUKI, lakini ukamalizia kwa kumtaka Dr. Slaa na MBOWE(ambaye ni MBUNGE) arekebishe hali! Mbowe atarekebishaje wakati yeye ni "mamluki"?!
Mie sioni tatizo laCHADEMA, wewe kura yako wape utakaowaona kukufaa, CHADEMA wataendelea kupata kura za watu wenye uelewa kwamba POLITICS is The "Battle" Between Competing Ideas.....
Pole sana ndugu!
 
Huyo mzee kashalipwa mafao yake?
Sio mstaafu wa africa mashariki kweli huyo?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
no research no right to speak.wafuas na wanacdm wanajua mambo meng xana tofaut na nyie wa vyama vya kiliberal.hapo sasa ndo lnakuja suala la ubsh,ukorof,ujuaj kwa sabab cwez kuwa kmya et kwa kua mwenzang hajui k2,ubsh unatokana na ce kua MULTIPURPOSE

Yani mkuu una point sana ila umenichefua hapo ulipoandika "XANA"! Naomba uedit please! Kwa busara zako hilo neno halikufai

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
mkuu unakosea sio kila kitu unacho ambiwa na wakubwa tena wastaafu ni cha kushika...mfano mm yupo mzee mstaafu katika wizara nyeti alisha wai niambia JK ni mmasai, ni mtoto wa njee ktk familia..yani babake ni mmasai, na pia Mkapa ana asili ya msumbiji yani wazaz wake wamezaluwa msumbiji..vitu kama hivi sio vya kuamini na kkufanya ulete thread humu.

Hahahaahahahaha! Kweli mkuu!
Wazee wengine wameshajizeekea na pension ishaisha!
Me mwenyewe ni mtu mzima mmoja alishaniambia hilo la kikwete,eti ndio maana yuko close na lowassa coz ni ndugu yake!toka siku hiyo huyo mzee namchukulia poa sana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.
Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..
Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

chadema kama matusi ndo siasa bora ,je mkipewa nchi??

Started by KIBE, Today 14:31

Target yako kwa leo ni kuingiza buku ngapi mheshimiwa...
 
mkuu unakosea sio kila kitu unacho ambiwa na wakubwa tena wastaafu ni cha kushika...mfano mm yupo mzee mstaafu katika wizara nyeti alisha wai niambia JK ni mmasai, ni mtoto wa njee ktk familia..yani babake ni mmasai, na pia Mkapa ana asili ya msumbiji yani wazaz wake wamezaluwa msumbiji..vitu kama hivi sio vya kuamini na kkufanya ulete thread humu.

ukweli si unaonekana sasa wabunge hawa wanakibomo chadema badala ya kujenga sasa chama kinaonekana ni kama kikundi cha wahuni wanaharakati hawana hata busara za uongozi... angalia wabunge wa nccr mageuzi wakisamama unaona wanatoa hoja za maana ..lakini ngoja asimame wenje,lissu ,mbilinyi ,lema moja kwa moja unajua hapo yanatoka mahovyohovyo ..chadema kibadilike hasa wabunge wake wanapotezea mwelekeo
 
kama umekosa cha kuongea nyamaza kimya? uclete vitu ambavyo havina tafiti
 
Tutambue siku zote msema kweli hapendwi popote, Utaendelea kusema na kunena kwa ushabiki lakini mtu mwenye akili inakupasa kuangalia ukweli wa mambo na namna utakavyoshawishi watu namna ya kuendeleya nchi na sio kutoa hoja zisizo na msingi. Kama mtanzania uliesoma inatakiwa utumie hata elimu ulio naya kumwelimisha mwenzako na NDICHO WANACHOFANYA CHADEMA, na unapaswa utambue ya kuwa wazee(ccm) wamepata elimu ya wakoloni zamani hivyo itikadi hizo wanazo tangia zamani hivyo lazima vijana (chadema) waweze kuwatoa kwenya itikadi hizo hivyo hawana budi kukubali elimu ya bure wanayopewa.thx
 
darasa huru...........................................

agree to disagree.........nimewakilisha.
 
Darasa huru ...................................

Agree to Disagree ....................NAWAKILISHA.
 
Back
Top Bottom