Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Na wewe ukamuamini huyo mzee? Sasa mwenye tatizo itakuwa wewe au huyo mzee? JK Nyerere alishawahi kuwauliza waandishi wa habari wa kenya shali kama nililokuuliza wewe,je unaona ni haki kuamini kila kitu mtu anasema hata kama ni upuuzi? Je mpuuzi mkubwa anakuwa yeye au wewe?
 
Huyo mzee wako mstaafu ameshawahi kupimwa akili yake?
Hao anaowaita mamluki ndio wanaomnyima usingizi Kikwete, Mama Salma na Ridhwan.

Wala huna haja ya kumjibu mtu kama huyu kwa kuwa hajui maana ya mamluki. Kama angekuwa na akili jambo la kwanza angemwomba huyo mstaafu ampe maana ya mamluki.Mamluki ni askari wa kukodiwa anayeweza kupigana mahali po pote kwenye nchi ambayo si yake ili mradi analipwa fedha. According to the Oxford English Reference Dictionary (1995) a mercenary (mamluki) is a hired soldier in foreign service. Kwa hiyo mleta uzi anataka watu waamini kuwa CCM ni nchi na kwa sababu hiyo wamewaajiri Chadema wapigane kwa niaba yao. Halafu watu wanachangia. Wapuuzeni wajinga hawa ambao hawajawahi kwenda shule. Huyo mstaafu wake inawezekana amestaafu kubeba mizigo kule feri au Kariakoo shimoni.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.

Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..

Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Huyo mzee ndio maana ni mstaafu, ndio kusema hata akili yake ilishastaafu. Mwambie asubiri mauti yamfike tu maana kwa sasa hana jipya,
 
inachoma moyoni hiyo...pokeeni ukweli hawa wabunge wanakipata sifa mbaya chama ..kinaonekana cha hovyo hovyo..leo kila sehemu wanalaumu hiki chama..kwani lazima povu liwatoke mbona ukweli unaonekana ...chukueni hatua kama mnataka tuwaunge mkono hatuwezi waunga mkono wa mahovyohovyo haya hata siku moja... leo tena dr.slaa kaja na tamko kama kahawa chama cha milipuko na matamko.
 
Ili liberal la lumumba limeamia Cuf,Mr.Chichiman naona unatafuta utoke vp acha kumsingizia mzee wa watu.,uzinduzi wenu wa ma'fish mkafanyie malawi..
 
inachoma moyoni hiyo...pokeeni ukweli hawa wabunge wanakipata sifa mbaya chama ..kinaonekana cha hovyo hovyo..leo kila sehemu wanalaumu hiki chama..kwani lazima povu liwatoke mbona ukweli unaonekana ...chukueni hatua kama mnataka tuwaunge mkono hatuwezi waunga mkono wa mahovyohovyo haya hata siku moja... leo tena dr.slaa kaja na tamko kama kahawa chama cha milipuko na matamko.
Mapunga kama wewe hayatakiwi chadema,baki ukouko
 
Hii ndiyo nidhamu ya wana CHADEMA na viongozi wao, hawashauriki, hawajibu wala kuchangia hoja wao majibu kwa hoja ni kukashifu.

Shauri wanaotuibia mali zetu kama Kinana kwamba aache tembo wetu.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.

Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..

Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..
mmh!!!!!
 
Loooh..!...! Wazee wengne wanazeeka vibaya na sii kila mzee anabusara wazee wengne ni hasara tupu, ila naomba uelewe jambo moja huyo lema unayemuita muhni ndio huyo analiyefanya mpka leo ccm wasitiae maguu arusha,..!
 
Kwani Wenje kasema uongo? Liberal international wanasupport ushoga na usagaji,CUF ni member wa liberal international,ss?
 
Sisi CHADEMA huo ndio utaratibu wetu.Tunatafuta umaarufu kwa kutukana bungeni na kuandamana bila kusahau kunyang'anya wake wa watu,sisi chadema ni vijana wenye nguvu sana kiasi kwamba ili kuipunguza nguvu tuna sera yetu ya full 'kugegeda'na ikigoma kugegedwa kwa democracy tunakubaka.
haa haa cuf ni chama cha usagaji na ushoga.
 
Umekosea sana kukidhalilisha chama makini CCM

1. CCM hatuna uhusisiano na wavuta bhangi mg. Sugu, Lema etc.

2. CCM hatuna uhusiano na vichaa. Waliotoroka Mirembe mf. Lissu.

3. CCM hatuna uhusiano na wachezesha disco. mf. Mbowe.

tuombe radhi kwa kukidhalisha ccm.
 
Huyo mzee wako mstaafu ameshawahi kupimwa akili yake?
Hao anaowaita mamluki ndio wanaomnyima usingizi Kikwete, Mama Salma na Ridhwan.

Wanaoishi vijijini hawawezi kujua kuwa CHADEMA ni mamluki wa CCM,achana nao watakuumiza kichwa tu hao mamluki wakubwa.
 
Asante kwa upumbavu na ujinga wako ulioleta hapa....Tunashukuru kwa kuwa na akili za kushikiwa!
You are still very young in thinking that is why your babu is patronizing you and guide your thinking!

Endelea kupata maoni ya vijiweni....na kabla ya kupata maoni hapo vijiweni uliza ni kijiwe cha maliberali au?
 
Yaani sisi wafuasi wa chadema tumekaa km wajinga fulani vile,yaani tukiambiwa ukweli khs chadema tunaumia,tunanuna na kutoa maneno ya kashfa,kwani na sisi chadema si consavative?ambapo kiongozi mkuu ni david cameroon wa uk?au hatujui kuwa nae ndie mkuu wa kuhalalisha mafiro kwa wanaume??tusiwe wanafik bana.
 
Umekosea sana kukidhalilisha chama makini CCM

1. CCM hatuna uhusisiano na wavuta bhangi mg. Sugu, Lema etc.

2. CCM hatuna uhusiano na vichaa. Waliotoroka Mirembe mf. Lissu.

3. CCM hatuna uhusiano na wachezesha disco. mf. Mbowe.

tuombe radhi kwa kukidhalisha ccm.
Ni kweli mkuu ccm haiwezi kuwa na uhusiano na chama makini kama chadema ila uhusiano wenu uko kwa MA'LEBERALS...nimeamin ccm+cuf=sodoma na gomora
 
Yaani sisi wafuasi wa chadema tumekaa km wajinga fulani vile,yaani tukiambiwa ukweli khs chadema tunaumia,tunanuna na kutoa maneno ya kashfa,kwani na sisi chadema si consavative?ambapo kiongozi mkuu ni david cameroon wa uk?au hatujui kuwa nae ndie mkuu wa kuhalalisha mafiro kwa wanaume??tusiwe wanafik bana.
Hahahaaaaa naona umekuja live,pitia lumumba kachukue liberal1....
 
mimi simlaumu mleta mada wala huyo mzee wako,yan tatizo lililopo ni mtazamo na uwezo wa kuchanganua mambo....ujue kuna watu wanadhan mpinzan aliyehama kutoka magamba eti cyo mpinzani eti mamluki...kwa hiyo wanafikiri mpinzan atashuka toka juu? au tusubiri hadi watoto wasio na vyama hadi watakapokuwa ndo waje kuanzisha vyama vya upinzani? "NDO MAANA NASEMA NI MTAZAMO TU"
 
Back
Top Bottom