Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM

Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.

Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..

Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..

Nosense brother......mwongo wewe!!.....na kwenye kijiwe chetu huku SHY ulipita ukakutukuta hivyo?.....Mmeshikwa pabaya sana hatudhani kama mtajinasua!!. Ngoja tusikilizie na huu mradi mpya wa Katibu mkuu wa CCM, jangili wa tembo wetu Bwana Kinana ya kuwahonga majaji wa mahakama ya rufaa eti....kumwondoa TUNDU LISSU bungeni.......

Mwambieni katibu mkuu wenu Kinana a.k.a Jangili wa tembo na Mwenyekiti wa CCM bwana J. Kikwete a.k.a Mwasisi wa udini Tz wawekeze katika matatizo yanayolikabili taifa kwa kuondoa ufisadi, kuboresha huduma za afya,Kuboresha huduma ya elimu, kujenga barabara zetu haraka na kadhalika.Kwa njia hiyo tu manaweza kurejesha heshima mliyokwishaipoteza CCM na wapenzeni wenu CUF!!..Acheni kujifariji kwa ujinga kama huu; Jifarijini kwa kuwatendea watu haki kwa kuwashauri viongozi wenu kuwatendea wananchi haki. Otherwise ni upumbavu na ujinga kudhania watu na wananchi kwa ujumla ni wajinga!!!...Amkeni watetezi wa CCM enough is enough!!... watu siku hizi tumeamuka,tunaelewa viongozi na CCM na serikali yao na ninyi allies wao acheni uhuni na upumbavu, wajibikeni kwa kutumia mamlaka na madaraka tuliyowapa kuongoza nchi hii kwa uadilifu na kwa kutenda yawapasayo kutenda!!.
 
Siku moja nimewahi mtembelea mzee wangu mstafu ambae kastafu mwaka jana katika taasisi fulani ya serikali.. Aliniambia neno moja Tz hakuna upinzani wengi wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mamluki wa CCM wako katika kupoza kuwa Tz ionekane ina vyama vya upinzani.na akanieleza wazi wabunge wa CHADEMA ndio wako mstari wa mbele kuharibu mstabali wa upinzani Tanzania ili watu waone CHADEMA ni wafanya fujo ,wanahatarisha amani.

Kwa haya yanayofanywa na wabunge wa CHADEMA bungeni ukweli kabisa yananipa picha ya wazi kuwa hawa ni mamluki wako katika kuharibu CHADEMA kionekane chama cha wahuni wasiokuwa na maadili ya uongozi.. Ukiwatazama Wenje, Lisu, Mbilinyi, Lema etc kwa akili ndogo unaweza jua wanakijenga CHADEMA lakini ukitafakari kama kweli unaakili timamu na sio mshabiki wa kila kitu utagundua hawajengi chama bali ukwei wanakibomoa tena kwa kasi ya ajabu..CHADEMA sasa kinaonekani chama cha wahuni hakina uongozi imara wa kusimamia watumishi wake hasa hawa wabunge vijana.

Ukweli leo kila ukipita kijiwe story ni za Wenje jana na watuna wanaeleza wazi hiki chama mbona hakina watu wenye maadili wenye kueleza vitu vya maana kila siku vurugu tu bungeni ,matusi etc... Wako kama watoto wadogo wasiojua nini cha kusema na nini sicho cha kusema mbele za watu..

Mbowe ,Slaa hebu jaribuni kuwa makini chama kinapoteza sifa tena kwa kasi kubwa ..kumbukeni binadamu akibadilika kumrudisha katika imani ile ya kwanza ni ngumu sana..mfano mimi 2010 kura zangu zote zilikwenda CHADEMA lakini sasa imani inatoweka mana naona kama hiki chama wamejaa wahuni wanaharakati tu..
remove that piece of trash plz...
 
Cdm naijifie tu hatuoni dhamani manake ispokuwa vurugu tu.
 
Umekosea sana kukidhalilisha chama makini CCM

1. CCM hatuna uhusisiano na wavuta bhangi mg. Sugu, Lema etc.

2. CCM hatuna uhusiano na vichaa. Waliotoroka Mirembe mf. Lissu.

3. CCM hatuna uhusiano na wachezesha disco. mf. Mbowe.

tuombe radhi kwa kukidhalisha ccm.
rubbishhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.....mlevi wewe kafie mbele huko,,,,
 
Back
Top Bottom