mahogany
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 252
- 23
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.
Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa serikali, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
mwanzoni nilikua mdogo, sikua na
chama. nilipokua mkubwa kidogo
nikaanza sikia ubishani wa vyama
TZ. Sasa nimefungua macho kabisa
ndio nagundua CDM ni chama
chenye lengo zuri la kuikomboa
nchi toka usingizini!