Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Wabunge wa CHADEMA mnakera sana

Mbowe anafikiri kuongoza upinzani Bungeni ni kutembea kwa landcruiser ya serikali tu!!!

Uongozi wa upinzani umemshinda, sasa hivi wabunge wa chadema wanajiendea tu kama mbuzi wa Vingunguti wasiokuwa na mchungaji...

Hamad Rashid aliongoza vizuri upinzani Bungeni...

kwel kuna watu vilaza miaka yote bado kichwa tupu 'unaibiwa bado unaacha beg waz' foolsh
 
ndugu yangu kimsingi unaweza kuchukia chama au mtu lakini mambo yanayo tokea bungeni ni matokes ya upande mwingine/mtu kuto kukubali mabadiliko,unajua bunge la tanzania lilikuwa bunge la kukubali kili kitu lakini hizi ni challenge mpya.
 
Wabunge wengi wa Chadema wanakosa maadili wanaokota maneno vijiweni wanapeleka bungeni.
 
Bunge la Tanzania halijawahi kuwa muhimili unaowawakilisha wananchi bali ni mojwapo ya jumuiya za chama cha mafisi.
 
Maendeleo yote duniani yanakuja baada ya wawakilishi wananchi kuwa makini na kuchukua maamuzi ya busra katika kujenga nchi.
Hivi juzi wawakilishi wa wamerekani walipinga HOJA YA KUZUIA SILAHA KUUZWA OVYO. licha ya kuwa waliopinga hoja hiyo kwa idadi kubwa walikuwa wapinzani,lakini waliwshawishi baadhi ya wabunge wa OBAMA kuungana nao
HAPA TZ WABUNGE WA CHADEMA WANAWEZA KUPINGA KILA KITU ilihali tu limeletwa na watawala

CHA AJABU ZAIDI, JAZBA, KEJELI NA VITUKO VYA AJABU VINATAWALA BUNGENI. KWA MFUMO HUU LABDA CHADEMA IINGIZE WABUNGE WANAOJUA SIASA NA MAENDELEO YA NCHI NA SIO SIASA NA MAENDELEO YA CHAMA NA UMAARUFU WA MTU
 
Wewe umelewa mataputapu na kujidai ni thinker! Ungekuwa makini usingefungua mdomo wako na kuropoka hivyo. Jifunze kuongea!
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
 
Hivi wabunge wa CDM na Serukamba, Mwigulu na Lusinde nani anaropoka na kutukana hovyo? Ritz hata kama umepewa limbwata na CCM mambo huwa hayaendi hivyo!
Wabunge wengi wa Chadema wanakosa maadili wanaokota maneno vijiweni wanapeleka bungeni.
 
Wabunge wengi wa Chadema wanakosa maadili wanaokota maneno vijiweni wanapeleka bungeni.

Mmh. Ritz Mbona siku hizi huendi tena kwenye biashara zako za china? au Mtaji umekata? Just wanted to know
 
Hivi wabunge wa CDM na Serukamba, Mwigulu na Lusinde nani anaropoka na kutukana hovyo? Ritz hata kama umepewa limbwata na CCM mambo huwa hayaendi hivyo!

Akili kubwa inaogoza akili ndogo Lema ndiyo kiongozi wako bungeni au Sugu. Kweli hapo unategemea nini mkuu.
 
Lema ni afadhali mara mia moja ulikilinganisha na Lusinde na Mwigulu. Hao watu wawili ni majanga ndani ya CCM na sidhani kama 2015 watarejea Bungeni!
Akili kubwa inaogoza akili ndogo Lema ndiyo kiongozi wako bungeni au Sugu. Kweli hapo unategemea nini mkuu.
 
Hata humu kuna watu bado wameshikiwa akili kama huyu jamaa!!!! kazi ipo.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?

Wewe lazima unatumia makalio kufikiri. Hivi tukiacha ushabiki wa kijinga ni mbunge gani wa CCM unayeweza kulinganisha na Tundu Lisu katika kutoa hoja zenye mashiko na kwa manufaa ya watanzania
 
Kama mimi navyochukia wewe mpu.....zzz kuwemo humu na kutoa mawazo yako ningekuwa na uwezo ningekufuta

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe lazima unatumia makalio kufikiri. Hivi tukiacha ushabiki wa kijinga ni mbunge gani wa CCM unayeweza kulinganisha na Tundu Lisu katika kutoa hoja zenye mashiko na kwa manufaa ya watanzania

Sijaona tofauti yako na mbunge wako na inadhihirisha mlivyo wajinga.
 
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge.

Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge kama muhimili mmoja wapo wa dola, mbunge gani asie na busara wala nidhamu kwakiongozi wake wa bunge kama si bangi ni nini?
kama ni kweli hizi za kwao nzuri kwa taifa letu ni bora waendelee kuvuta
 
Back
Top Bottom