Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?
Kwani hata wewe si umeambiwa usiende kazini, na badala yake ufike uwanja wa Uhuru so nani kakuzuia? Au wale wote walioitika kutokwenda kazin wamefika ktk uwanja wa Uhuru? Chadema ni taasisi sio genge la watu fulani.
Bungeni na kuapishwa magufuli kipi cha maana hapo..acha kufananisha sherehe hizo na mambo muhimu kama bunge...
Bungeni hawatasusa kwa sababu kuna posho
Matokeo hawajakubaliana nayo wahudhurie kufanya nini???
matokeo hawajakubaliana nayo wahudhurie kufanya nini???
Wabunge hao wamezuiliwa kuhudhuria kwenye sherehe ya kuapishwa Rais Magufuli jambo ambalo halipendezi hata kidogo.
Swali kwao ni kwamba, kama leo wamegoma je, siku ya kulihutubia bunge tarehe 17 napo watagoma kwenda?
Magufuli ni Rais wa NEC na CCM..si chagua la watanzania Bali la Lubuva.
Siwezi ongelea uchaguzi wa tz sana kama mkenya lakini umenikumbusha Uhuru akiapishwa aliyeshindwa uchaguzi Raila na mgombea mwenza wake Kalonzo walikuwa eti south afrika 'holiday'.Nilichukizwa sana na tabia hiyo ya kitoto na isiyo ya kizalendo.Urais ni wa kuunganisha nchi yote kwa jumla haijalishi nani kaketi kwenye kiti hicho.