Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

Jadili kwa hoja na sio matusi mkuu kiogwe.
Hakuna hoja ya kujadiliwa katika andishi lako. Kwa mfano, ni kiongozi gani wa upinzani anayeunga mkono madawa ya kulevya? Tatizo mmekuwa ama braiwashed au uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana!
 
Ha ha ha haaa, onyesha uwezo wako huo mkubwa basi watu tukuone. Labda unijibie maswali yafuatayo

1. Je, ni kweli kwamba wapinzani walikuwa wanaongoza vita dhidi ya ufisadi kipindi cha JK?

2. Na je, ni kweli kwamba mabilioni ya hela ziliibiwa kifisadi?
3. Na je, ni kweli kwamba wapinzani kwa sasa hawana ajenda ya vita dhidi ya ufisadi?
3. Je, ni kweli kwamba wapinzani wanawakingia kifua wanaotumbuliwa kwa ufisadi?,

Mtaelewa tu!!!!
 
Mleta hii thread kama sio bange basi anatembea na akili za kuazima. uandishi ni wako wa hovyo! ulichoandika hovyo! mtiririko hovyo! ni bora uwe unaandikiwa na nkeo.
 
Ha ha ha haaa, onyesha uwezo wako huo mkubwa basi watu tukuone. Labda unijibie maswali yafuatayo

1. Je, ni kweli kwamba wapinzani walikuwa wanaongoza vita dhidi ya ufisadi kipindi cha JK?

2. Na je, ni kweli kwamba mabilioni ya hela ziliibiwa kifisadi?
3. Na je, ni kweli kwamba wapinzani kwa sasa hawana ajenda ya vita dhidi ya ufisadi?
3. Je, ni kweli kwamba wapinzani wanawakingia kifua wanaotumbuliwa kwa ufisadi?,

Mtaelewa tu!!!!
Unaona unavyodhihirisha weupe wako? Nimekwambia ututajie kiongozi wa upinzani mmoja tu anayeunga mkono biashara ya madawa ya kulevya umeshindwa, wakati andishi lako lililenga kuonyesha kuwa wapinzani ndio wanatetea wauza madawa ya kulevya, na ulivyoshindwa umeibuka na tuswali twa kichovu ikiwa ni dhihirisho tu kwamba hata unachokijadili hukielewi in deep.
Wewe ni zao la kuvurugwa kwa mfumo wa elimu ili uweze kutawalika kwa urahisi! na haishangazi basi, kutokana na umbumbumbu wako unaingia kucheza ngoma hata usizoelewa midundo yake-utabaki kukariri neno "mtaelewa tu" utafikiri kuna watu mmewakamia! hovyooooo!
 
Duh!, naona umeguswa kweli, tulia tu baada ya mda macho yako yatafunguka na utaweza kuona. Vita dhidi ya madawa kulevya mmeshavuruga kwa faida yenu wenyewe.
 
Kaka usisumbuke hujui dunia inawehu n mabashite?
 
Duh!, naona umeguswa kweli, tulia tu baada ya mda macho yako yatafunguka na utaweza kuona. Vita dhidi ya madawa kulevya mmeshavuruga kwa faida yenu wenyewe.
Uko very low hata hujui unachokijadili hapa!
 
Yapo mambo tunayokubaliana nayo kama taifa. lakini pia kuna uozo mwingi na dhulma pia. Nakubaliana na kubana mianya ya ukwepaji kodi pale bandarini na kwenye maeneo mengine. Lakini hatukubaliani na matabaka yanayo jengwa na serikali. Kuwalinda wahalifu hadharani, lakini pia kuwadhulumu wafanyakazi wa umma haki zao halikubaliki. Ccm wameshindwa kukemea hayo so wanaunga mkono dhulma hizo.

Serikali ielewe kuwa swala la bashite wanaliona ni dogo sana ila hawajui madhara yake kuwa swala hili litafunika mazuri yote yanayofanywa na serikali hii wasilichukulie kwenye mgongo wa madawa ya kulevya swala hili litamfanya raisi wetu kutoka hero to zero
 
CCM sasa hivi raha nimependa mabadiliko ya Mwenyekiti wetu, Chama sio cha Mtu ni cha wanachama wanao zani hawagusiki wanaguswa, huyu ndio Mwenyekiti wetu shupavu na Rais wetu shupavu
 
Serikali ielewe kuwa swala la bashite wanaliona ni dogo sana ila hawajui madhara yake kuwa swala hili litafunika mazuri yote yanayofanywa na serikali hii wasilichukulie kwenye mgongo wa madawa ya kulevya swala hili litamfanya raisi wetu kutoka hero to zero
Acha kudanganya bashite ana mazuri mengi, watu wa Dar wanajua ukiondoa wauza madawa.. Bashite hazui vyama kupata Ruzuku, hazui maji kusambazwa, hazui umeme kusambazwa sasa tatizo nini
 
Thread za kikenge hizi,ww si unanufaika unachuma kutoka kwa magu.
 
JF Salaam!

Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).

Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.

Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.

Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.

Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.

Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!

Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.

Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!

Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.

Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!

Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;

MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???

Mwisho wa kushare.

SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!

Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.

Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.

Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.

CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.

Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.

"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".

Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.

Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.

Nahisi nimeanza siku vibaya kwa kusoma huu upuzi.
 
Utawala huu umefanya makosa makubwa kwa kuwa ni utawala usio na mfumo wa kiuongozi wala maono. Wanayoyakataa leo, ndiyo wanayoyasifia keeho.

Fikiria: Mwakajana utawwlw huu ulitamka kuwa hauhitaji msaada wa TZS 1.4 trillion free money toka MCC kwa kuwa ulikuwa na sharti la kuheshimu demokrasia. Wiki iliyopita umekubali maharti 5 (na kuheshimu demokrasia likiwa mojawapo) kwaajili ya kupata msaada wa TZS 500 billion!
 
JF Salaam!

Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).

Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.

Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.

Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.

Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.

Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!

Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.

Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!

Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.

Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!

Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;

MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???

Mwisho wa kushare.

SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!

Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.

Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.

Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.

CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.

Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.

"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".

Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.

Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.
Kipimo ni uchaguzi WA serikali za mitaa mura, mtapigwa mbaya, huku chini kuna kundi LA matapeli limeibuka mitaani linajiita madalali litawaua mchana kweupeee. Wanavizia Ukiuza bidhaa kwa risiti za zamani wanakungangania ka siafu. Mtaji million 5? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Acha kudanganya bashite ana mazuri mengi, watu wa Dar wanajua ukiondoa wauza madawa.. Bashite hazui vyama kupata Ruzuku, hazui maji kusambazwa, hazui umeme kusambazwa sasa tatizo nini
Unajua athari za double standards? Unadhani wale waliofutwa kazi kwa vyeti feki will vote for the damn party? baada ya kuona the govt is protecting the RC with fake academic certificate?
 
Aloo,hiyo thread ni bora kabisa imeakisi ule ushangiliaji wa siku ile.
lakini ukae tayari kutemewa mate na wapiga dili na wanywa viroba wa humu jf.
 
Back
Top Bottom