Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

Magufuli nichaguo la Mungu
Mkuu siasa zisikufanye ujitoe ufahama na kuanza kukufuru.... jitu linaloshinda kwa waganga na limeingia serikalini kwa kuchakachua kura ndio chaguo la Mungu?? Mungu akusamehe tu
 
Nikanda ya ziwa!!
Mbona mmeishiwa hoja!!
Flyover zinajengwa Kanda yaziwa?
Uwanja wakisasa unajengwa Kanda ya ziwa?
REA inaenda kanda ya ziwa pekee!!
Viwanda vinajengwa kandayaziwa!!?
ukanda upo Chagadema pekee
Basi tuambie uwanja wa ndege kujengwa kijijini huko chato kina impact gani kwenye uchumi wa nchi kuliko kuukarabati ule wa mtwara ili uwe na hadhi kwa ajili ya future investments za huko!!!!!
 
Baba CCM watatembea kifua mbele wakati gharama za maisha yakiwa chini.
Kwahili hii usitegemee CCM itakuwa salama uchaguzi ujao
 
Basi tuambie uwanja wa ndege kujengwa kijijini huko chato kina impact gani kwenye uchumi wa nchi kuliko kuukarabati ule wa mtwara ili uwe na hadhi kwa ajili ya future investments za huko!!!!!

Chato ni Kenya Na Mtwara ni Tanzania ?
 
Wanatembea vifua mbele wakati ndiyo wapiga dili wenyewe, kwani nani aliyeibia Tanzania kama cyo hao wabunge wa ccm na viongozi wao?
 
Kamati ya bunge inayohusiana na madini nayo ivunjwe maana kuna wengine wapo kwenye kamati hiyo miaka nenda rudi lakini hawana jipya, wamebakia tu kupigia makofi kila mswada
 

Attachments

Wabunge gani?? Hawa wa NDIOO?? aliosema amezima bunge live kisa hawana hoja?? Kma wanatembea vifua vya mbele si muweke bunge live ?? By the way nchi nzima inajua wabunge pekee wanaotetea maslahi ya wananchi ni upinzani hao ccm wao ni ndiooooo no wonder walipitisha bajeti hewa ambayo utekelezaji wake umekuwa wa kusuasua maana mlipitisha kwa ushabiki bila kuuface ukweli wa mambo
Mtaishia kuongea kwenye mitandao JPM ndiyo baba lao.
 
Mtaishia kuongea kwenye mitandao JPM ndiyo baba lao.
Duh sasa hoja inahusu wabunge wa ccm kwani JPM ni mbunge wenu??? Haahahha naona cku hizi mnajifichia kwa magufuli ili mtembelee nyota yake km uchaguzi mkuu 2015 aliposema chagua magufuli sio chagua ccm!!! kwa ufupi CCM imetufikisha hapa hta huyu magufuli anayoyashugulikia yaliletwa na chama chake ndio maana tunapitia shida hizi kwa sasa kuanzia afya mpaka uchumi!!!! Ccm needs to go
 
Wabunge wa CCM ndio kipindi kigumu sana kwao.Kwanza walipitisha hiyo mikataba kwa kishindo,pili hayo makampuni hawawezi kufanya chochote.Kwani mikataba ni mibovu na sheria zake
 
Back
Top Bottom