Mkuu umenikosha sana naagiza lite moja kwa ajili yako ungekuwa karibu ningekununulia unachopenda!! Big up mkuu!!JF Salaam!
Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).
Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.
Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.
Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.
Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!
Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.
Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!
Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.
Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!
Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;
MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???
Mwisho wa kushare.
SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!
Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.
Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.
Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.
CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.
Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.
"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".
Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.
Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.
Siasa za majitaka mwingine huyu!
Wewe utarudi lini?? Tujenge nchi?? Hujachoka kubeba mabox kwa wazungu???
Then Makonda anajuaje na kuwahakikishia siku ya kuachiwa mateka?Sio kweli mnajiteka wenyewe kwa faida ya wapiga dili
Nimewaambia na wanakubali 100% wanasema chadomo wamepoteza uelekeo karibu wataingia chaka!!Ahsante kwa zawadi yako nikuombe tu waambie walo kuzunguka kwamba kwa sasa hatuna wapinzani.
Kwani umeacha kubeba mabox??Aliyekwambia mimi nabeba box nani? Achana na ujuha wa kujifanya unanifahamu? Na nani aliyekudanganya Watanzania walio nje ya nchi hawajengi nchi!? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani na kuja hapa kuropoka pumba.
kumbe akina lizaboni, simiyu yetu, cocochanel mko wengi kweli humuJF Salaam!
Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).
Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.
Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.
Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.
Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.
Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!
Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.
Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!
Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.
Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!
Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;
MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???
Mwisho wa kushare.
SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!
Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.
Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.
Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.
CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.
Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.
"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".
Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.
Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.
Tuko wengi sio mafisadi na wauza madawa!!kumbe akina lizaboni, simiyu yetu, cocochanel mko wengi kweli humu
Kwani umeacha kubeba mabox??
ni akina nani hao, mafisadi na wauza madawa, mahakama si zipo, wapelekeni muwafunge mnasubiri nini, kila siku mnabwabwaja tu,Tuko wengi sio mafisadi na wauza madawa!!
Mwingine wa siasa za majitaka huyu hapa.