Wabunge wa CCM sasa wanatembea kifua mbele

Naona umeamua unijibu kwa I'd yako ingine Lumumba njaa kari mnahangaika sana
i'd, kari, ndio nini. lugha tu inakusumbua. mkiitwa nyumbu kufuata malisho msikatae maana kutafuta kula nayo ni ujanja.
 
Ahsante sana Magufuli kwa kuwaletea heshima wabunge wako. Wapinzani wabakia magarasha
 
Kwani kuna siku walitembea kifua kikiwa nyuma
Hizi bk 7 tangu Kinana atumwe India kutibiwa hazina udhibiti kabisa. Unadhani enzi Kinana hajasafiri au wakati wa Nape thread kama hii ungepewa bk.7?? Thubutuuu!!!
 
Ahsante sana Magufuli kwa kuwaletea heshima wabunge wako. Wapinzani wabakia magarasha
Wabunge gani?? Hawa wa NDIOO?? aliosema amezima bunge live kisa hawana hoja?? Kma wanatembea vifua vya mbele si muweke bunge live ?? By the way nchi nzima inajua wabunge pekee wanaotetea maslahi ya wananchi ni upinzani hao ccm wao ni ndiooooo no wonder walipitisha bajeti hewa ambayo utekelezaji wake umekuwa wa kusuasua maana mlipitisha kwa ushabiki bila kuuface ukweli wa mambo
 
JF Salaam!

Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).

Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.

Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.

Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.

Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.

Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!

Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.

Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!

Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.

Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!

Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;

MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???

Mwisho wa kushare.

SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!

Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.

Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.

Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.

CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.

Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.

"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".

Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.

Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.
Mkuu Uzi wako unakila haki ya ku appear ktk Makala za Magazeti umejaa Points!!!!
 
[QUOTmimila bila, post: 21001067, member: 404967"]Hizi bk 7 tangu Kinana atumwe India kutibiwa hazina udhibiti kabisa. Unadhani enzi Kinana hajasafiri au wakati wa Nape thread kama hii ungepewa bk.7?? Thubutuuu!!![/QUOTE]
Mkuu mimi ni Engineer na sitegemei hayo usemayo.
 
CCM inaendelea kuwa janga la kitaifa, Huyu mleta maada anaugua ugonjwa wa UKOSEFU WA AJIRA(UWA) ambao unaenezwa na virus aitwaye CCM.Dalili za ugonjwa huo ni pamoja na hii ya mtu kuandika upuuzi kama huu aliotuletea Huyu mtanzania mwenzetu.
Tiba ya huu ugonjwa ni moja tu, nayo ni KUITOA CCM MADARAKANI.
 
JF Salaam!

Kwa namna ya pekee naomba kutoa maoni yangu juu ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa na serikali ya awamu ya 5 ya JPM na Khassim Majaliwa (KM).

Niwapongeze kwa dhati watu hawa wawili kwa jinsi walivyofanikiwa kufanya mabadiliko makubwa ndani ya mda mfupi sana.

Mmewapa heshima wabunge wenu na wanachama wenu kwa ujumla japo yawezekana wengi wao bado hawajaanza kutambua hili.

Kwa kipindi cha nyuma kwa namna ufisadi ulivyoshamiri ilikuwa ni vigumu mtu kujitambulisha kuwa ni mwana ccm watu wakaacha kumshangaaa.

Kwenye daladala ilikuwa ni kawaida kuzomewa huku magwanda yakivaliwa kama sifa.

Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi kuna wagombea wa ccm walikuwa wana vaa nguo za chama wakipanda jukwaani na mara baada mkutano wanaingia ndani ya magari yao na kuvua nguo zile. Aibuuuuu!

Kwa maaeneo mengi ilikuwa ni nadra kuvaa nguo za chama au kusimama kutetea chama ukatoka salama.

Ufisadi ufisadi ufisadi ulitamalaki.
Mwanzo mwa mwaka 2007/8 nyoka mwenye kengeza alipiga shilingi bil.2 basi watu wakaona ajabu kweli wakapiga kelele sana na yeye akajibu hivyo ni vijisenti. Basi tukapigwa butwaa!!

Baadae kiwango cha ufisadi kikapanda daraja kutoka bil.2 mpaka mabilioni yasiokuwa na idadi, taarifa za mara kwa mara za wizi mkubwa mkubwa zilitoka kila siku mpaka watu wakazoe. Ilipotolewa bil.321 za escrow ilikuwa kawaida sana nazo zikaliwa.

Kamati ikaundwa ikiongozwa na mpinzani mpiga dili, akaharibu repoti kwa kuficha majina muhimu ya wahusika. Walaaaniwe!

Labda kwa kuwaburudisha tu nishare ujumbe mfupi sana kutoka kundi moja la whatsaap leo;

MZEE TUNAKUMISI. RUDI TENA. KWA NINI TUNAKUMISI!?
1. Tulizoea kupiga dili sasa tumebanwa.
2. Tulikuwa na nyumba ndogo lakini viwezeshi hatuns
3. Tulizoea rushwa sasa ni kimbembe
4. Tulijitawala maofisini sasa ni HAPA KAZI TU
5. Tulitafutiana kazi kindugu na kirafiki lakini mambo yamebadilika
6. Tulizoea kukwepa kodi na misamaa dezo sasa ndo mwisho
7. Tulizoea uwongo sasa dhubutu ukione
8. Tulikuwa ma uhuru usio na mipaka sasa panya hajitawali
9. Tulizoea...
KWA NINI TUSIKUMISIIIIII???

Mwisho wa kushare.

SASA KATIKA MABALIKO YA CHANYA!!

Kubadilisha haya mazoea yaliyokwepo kipindi cha nyuma ni kazi sana ni lazima watu wengine waumie, wengine waugue na wengine watachanganyikiwa kabisa kama tulivyokwisha anza kuona wakilia kutafuta huruma kwa wananchi.

Tuliowafahamu kama wapinga ufisadi ndio hao hao leo wanakuwa vikwazo kwa vita dhidi ya ufisadi na madawa ya kulevya.

Mh. Nape aliongoza mapambano dhidi ya mzee lowasa akiwa na ajenda yake ya kisiasa (kuachiana jimbo na BCM) lakini leo hii uwezi amini kama ni Nape yule yule wa kuwavua magamba wenzake.

CHADEMA kwa upande mwingine nao hawaeleweki tena hata kidogo. Ilikuwa ni sifa kwa mtu kujitambulisha kuwa ni mpinzani kwa sababu upinzani ulikuwa unaongoza vita dhidi ya rushwa, ufisadi na ulinzi wa rasilimali zetu. Kwa bahati mbaya sana leo wametugeuka kabisaaaaaa. Wamekuwa watetezi wa wapiga dili, madawa na hata wezi wa rasilimali zetu.

Tuseme sasa basi, wapinzani hawatufai tena, na sio salama tena kuaminiwa na wanananchi. Hawana ajenda tena, kazi yao kubwa ni kwenda matukio ya kitoto ya wasanii wanaotafuta watoke vipi kimziki.

"We need a new crop of opposition leaders and not mbowe, not lipumba and not zito".

Hawa walishazoe kutumia nafasi zao kupiga dili na viongozi mafisadi wa kipindi kileeee!. Ni mda muafaka sasa kudai viongozi wapya wa upinzani. Kwa hawa tulionao wameishiwa mpunzi ( kwa sauti ya mzee wetu) na come 2020 Magufuli lazima atapata zaidi ya 85% ya kura.

Mwisho kabisa ni mwiko kunipiga biti inbox,wapo wanaojifanya mitandao ya jamii ni madaftari yao.
ok mkuu hapo umemaliza..mardadi.
 
Mimi najiuliza tu mwenyewe hapa,kweli ccm imetakata mmmmh! Liko wapi bunge mubashara!!!? Unaficha nn kama uko vzr? Au ndo ile mdada anavaa sketi yake fupi akiwa njiani anajitahidi kuivutia chini wakt aliinunua kwa vipimo vyake!! Acha ndg kudanganya utatufanya tuwe na maamuzi magumu zaidi
 
Wapinzani wana ajenda tena kubwa na zenye msingi tatizo mwandishi ameandika kwa mapenz ya chama...
Wapinzani ndio waliokuja na agenda ya lugumi iliyo mfukuza waziri kitwanga licha ya kubafilishwa kwa madai kwamba alifukuzwa kwa ulevi lakin pia serikali hii unayosema inapambana na ufisadi haijachukua hatua yyt lucha ya CAG kuthibitisha kua ligumi na kitwanga wanahusika na ufisadi
Ufisadi wa pili ni kuhusu wabunge wa ccm kuhongwa pesa na serikali takriban milion kumi kila mmoja na madai yalipelekwa bungen kwa kua serikali ni ya mabavu yalikataa kujadiliwa
Ufisadi wa tatu kuagizwa kwa mbolea na bei ya sokon- licha ya serikali kuagiza mbolea kwa nia njema lakin bei elekezi ilikua sh 30000 lakin serikal io io imeongeza bei had kufika sh 45000kwa mfuko mmoja kwaio kuna ufusad apo na atujui nani anahusika lakin serikali inajua
Bei ya ndege terrible teen 19 ambayo imekua gumzo na inalalamikiwa na kila mtu lakin serikali haitak kujibu

Ndugu mwandishi nafikiri hujui mzizi wa tatizo apa ni uhuru wa kutoa maoni ambao umeminywa nafikiri leo hii bunge lingekua live watanzania wangejua namna serikali inavojihusidha na maswala ya ufisad wa wazi waz

Kwaio kwa kuona msingi wa hoja wapinzani wameamua kwanza kutafuta uhuru wa demokrasia ambapo watakua na uwezo wa kuleta hoja zao
Sasa kama hoja zote zilizotolewa hapo serikali haitak kuchukua hatua ni dhahir hakuna nia ya dhati ya serikal kupambana na ufisad
 
Vizuri sana mtoa mada.
Leo hakuna wanachosimamia.
Naomba Mh. Magufuli asirudi nyuma. Asonge mbele hata kama watu watapiga kelele namna gani.
 
Wabunge gani?? Hawa wa NDIOO?? aliosema amezima bunge live kisa hawana hoja?? Kma wanatembea vifua vya mbele si muweke bunge live ?? By the way nchi nzima inajua wabunge pekee wanaotetea maslahi ya wananchi ni upinzani hao ccm wao ni ndiooooo no wonder walipitisha bajeti hewa ambayo utekelezaji wake umekuwa wa kusuasua maana mlipitisha kwa ushabiki bila kuuface ukweli wa mambo

Ndiyo hao wacheza kigodoro.
 
Kifua mbele kwa lipi!? Kugawana rushwa ya milioni 10 kila mmoja pale mtaa wa lumumba!?

Hahahahahaha ndiyo mkuu,na Mwenyekiti wao akakubali kwamba amewapa,umiridi chumbani ati tunapiga vita rushwa.
 
Vizuri sana mtoa mada.
Leo hakuna wanachosimamia.
Naomba Mh. Magufuli asirudi nyuma. Asonge mbele hata kama watu watapiga kelele namna gani.

Kuna siku utaelewa kwamba Mabadiliko ya kimaendelea ni Kanda ya Ziwa ndipo utakapoanza kupiga kelele ukiwa nyuma masaa kadhaa.
 
505aca3d19e51299b5a511397ca456eb.jpg
 
Kuna siku utaelewa kwamba Mabadiliko ya kimaendelea ni Kanda ya Ziwa ndipo utakapoanza kupiga kelele ukiwa nyuma masaa kadhaa.
Kuna siku utaelewa kwamba Mabadiliko ya kimaendelea ni Kanda ya Ziwa ndipo utakapoanza kupiga kelele ukiwa nyuma masaa kadhaa.

Nikanda ya ziwa!!
Mbona mmeishiwa hoja!!
Flyover zinajengwa Kanda yaziwa?
Uwanja wakisasa unajengwa Kanda ya ziwa?
REA inaenda kanda ya ziwa pekee!!
Viwanda vinajengwa kandayaziwa!!?
ukanda upo Chagadema pekee
 
Wana haki ya kutembea kifua mbele Bajeti ya trilioni 29 imetekelezwa Kwa 24% ahaaaaa
 
Back
Top Bottom