utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Ni kweli Bashe ana sura ya rangi mbili.
Du! kweli kabisa wabunge wa ccm msimuge kabisaaaaaaaa Bashe na Nape, mkiona Suruali semeni Kaputula, mkiona Bahari semeni Madimbwi. Na hii ndo inayomuharibia mwinyimkulu katika utawala wake.Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Usisaha usemi wa Msiba usikie kwa mwenzio. Lisu aliwaambia wakitoka kwetu watahamia kwenu. Hawakujua alichomaanisha.Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
mtoa mada atakuwa mtekajiHii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Taifa la nyumbani kwako na wauza dawa za kulevyaMtoa mada look before you leap hapa hakuna cha u CCM, Chadema ama Lowassa hapa ni maslahi ya taifa kwanza. Haya masuala ya utekaji na utesaji tulikuwa tunasikia huko Kenya wakati wa Moi (Nyayo House) ni wakati muafaka kuibana serikali la sivyo it will be too late.
OK, ukiachilia mbali hayo mengine ya ki-chama, huyu mtu pamoja na Mh. Musukuma walitekwa/kukamatwa ktk mazingira tata na kunyanyaswa, sasa endapo watu wa hadhi yao na wengine kadhaa ktk jamii wanaweza kukumbwa na kadhia hiyo na mamlaka rasmi za kiserikali hazitoi maelazo ya kueleweka, kwa nini asijitetee binafsi na hasa ukizingatia kuwa fursa hiyo anayo kama Mb. na Bunge ndio muhimili sawia kuisimamia serikali ktk mambo yote?Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
ww ni mpuuzi tu una lolote , njaa inakusumbua na ndio wanafiki wenyewe anasema BasheHii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Ukiona mtu mjinga anashabikia ujinga usiungane naye ,WEWE NI MJINGA WA KIWANZO CHA JET ENGINE.Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Mkuu wewe endelea kubwata lakini siku utakayotekwa na watu wasiojulikana, ukapelekwa mahali pasipojulikana, ukateswa na watu wasiokulikana halafu ukatupwa mahali pasipojulikana na kuokotwa na watu wasiojulikana, ndipo utakapotia akili.Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Yaani unaleta habari za Ulimboka?alipojitokeza Kijo bisimba mlilalamika kuwa ametengeneza picha ya Dr kutekwa? Leo Bashe anazungumzia haya unasema ni ghost member wa ccm acha upuuzi wewe kijanaMbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
Ukiona umetekwa basi jua ulishajitengenezea au umejitengenezea mwenyewe mazingira ya kutekwa..hakuna mtu atakayetumia costs na muda wake kukuteka bila sababu hususani kama wewe sio albino kundi ambalo lilikuwa mashakani.Mkuu wewe endelea kubwata lakini siku utakayotekwa na watu wasiojulikana, ukapelekwa mahali pasipojulikana, ukateswa na watu wasiokulikana halafu ukatupwa mahali pasipojulikana na kuokotwa na watu wasiojulikana, ndipo utakapotia akili.
Kwa hiyo UTEKAJI ndio mfumo sahihi wa CCM kushughulika na wakosaji badala ya kuwashtaki mahakamani?Ukiona umetekwa basi jua ulishajitengenezea au umejitengenezea mwenyewe mazingira ya kutekwa..hakuna mtu atakayetumia costs na muda wake kukuteka bila sababu hususani kama wewe sio albino kundi ambalo lilikuwa mashakani.