Mbona uchaguzi wa 2015 Mrema alisema Kura za Ubunge apewe yeye na za urais apewe Magufuli ingawaj kulikuwa na mgombea wa chama chake?!2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Kwani akikaa kimya ndio atapona!
amesema yupo kwenye list ya kupotezwa, sasa kipi salama kwake, kuficha siri ya vitisho dhidi yake au kuweka bayana mapema ili kuweka kumbukumbu sawa kwa walinzi wa usalama wa raia wampe special protection ili madhara Zaidi yasimkute?
kama kweli wako desperate kummaliza hata baada ya kuweka haya yote bayana then hana sababu ya kuficha, wasingemsamehe hata kama angekaa kimya!
eti bhana wakati tiss ipo kwa usalama wa taifa. polisi na mahakama ni kama wavu wakati mwingine hatari inapenya. usalama wa taifa (tiss)ndio mwokozi.Maslahi ya taifa yapi anayopigania bashe?? Yeye kusema 'alitekwa' na tiss kuna maslahi yoyote hapo??
Kwa kutaja tu siasa za enzi za Nyayo na enzi za Mzee Jomo Kenyatta namkumbuka Charles Njonjo alivyokuwa akicheza kama Bashite naona ndiko tulikoelekeaMtoa mada look before you leap hapa hakuna cha u CCM, Chadema ama Lowassa hapa ni maslahi ya taifa kwanza. Haya masuala ya utekaji na utesaji tulikuwa tunasikia huko Kenya wakati wa Moi (Nyayo House) ni wakati muafaka kuibana serikali la sivyo it will be too late.
kosa lake kusema ukweli juu ya kutekwa sioMaslahi ya taifa yapi anayopigania bashe?? Yeye kusema 'alitekwa' na tiss kuna maslahi yoyote hapo??
Chai ya Lumumba ni tamu sana, mengine waachieni wenye uchungu na Taifa hili.Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.
Katika hali isiyo ya kawaida uchaguzi mkuu uliopita Bashe alisikika akisema kura za ubunge apewe yeye na za urais apewe Lowassa.
2010 wakati wa uchaguzi mkuu Zitto Kabwe alimpigia chapuo JK kuwa apewe kura za urais tokea kipindi hicho Zitto hakuishi tena kwa amani CHADEMA hadi alipoondoka.
Kwa kauli za Bashe hata kufikia kuomba afukuzwe ni wazi ana uhakika wa uanachama wa chama kingine ambapo boss wake na ambaye yeye ni msemaji wake mkuu yupo.
Bashe ni kama ghost member ambaye hata leo CCM ikifa au kuharibikiwa yeye hana cha kupoteza na ndio maana alitoa go ahead kwa wapiga kura wake kumpa kura Lowassa hali akijua kupoteza urais ni mwanzo wa kufifia na kukosa nguvu kwa chama ambacho anajaribu kuaminisha watu yumo.
Wito wangu ni makada wa CCM wasiokuwa na uraia wa vyama viwili kukaa mbali na Bashe na kumuachia ngoma acheze mwenyewe kama alivyoicheza kwenye kampeni maana yeye akikosa huku anako kule ambapo moyo wake ( Lowassa) upo.
Labda huna record sahihi za Bashe au unaamua tu kujipotosha!Naamini malengo ya utekaji ni kupeleka ujumbe wa hofu zaidi ya kudhuru au kuua. Utawala huu naona unafanyia kazi dhana ya kuwa ukifanikiwa kuwajengea maadui wako hofu, tayari una nusu ya ushindi. Mfano maandamano ya UKUTA yalizimwa kwa mazoezi yaloyolenga kujenga hofu. Kauli mbalimbali za watawala mfano kuvitishia vyombo vya habari, kamata kamata ya wapinzani na kesi zisizoisha zina nia ya kujenga hofu nk.
Dalili ya mtawala aliye na hofu na asiyejiamini ni kutishia na kufanya na kuamuru matendo yanayolenga kuleta hofu kwa anaowaongoza. Mtu jasiri anatakiwa awe huru kupambana na hofu kama Tundu Lissu. Kama ni kutekwa na kukamatwa huwa namwona Tundu Lissu akikamatwa kila siku. Ila bado sijaona mwanachama wa chama cha kijani akilala sero hata lisaa limoja tu la mfano.
Huyu Bashe bado anaamini kuwa akivaa kijani basi yeye ni nusu mungu au "untouchable" hagusiki!!. Ni wakati sasa ajifunze na aachane na huo mtazamo. Anatakiwa kwanza kutambua kuwa binadamu wote ni sawa. Watanzania wote ni sawa, wana thamani iliyo sawa. Haijalishi kama anaunga mkono upinzani au ccm.
Kama ni mkweli, Hussen Bashe tungemwona anapinga matendo yote machafu ya utawala kuanzia mwanzo. Sio mpaka achukuiwe kwa mahojiano masaa machache, ndio aanze kupiga kelele kama mtoto aliyezaliwa jana.
G
Wakumbushe wako wapi wanasiasa wazuri wa Kenya kama :Kwa kutaja tu siasa za enzi za Nyayo na enzi za Mzee Jomo Kenyatta namkumbuka Charles Njonjo alivyokuwa akicheza kama Bashite naona ndiko tulikoelekea
Mbaya zaidi tuna u Kagameism (Twafwa)
Kama unaamini Nape alikuwa mstari wa mbele kumuweka Magufuli,utasema nini kuhusu KikweteMfano tosha kama Nape alitishiwa Bastola na yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kumweka Rais Magufuli madarakani nani atakuwa salama ?
Mkuu, huyu mtu anachukulia jf kama kijiwe cha fb cha kupoteza muda. Hakuna mtu mwenye akili stahili anaweza kusema eti ana pa kukimbilia akiharibu huku. Ni lazima kila mtu ii aishi lazima awe na chama cha siasa au awe mshabiki wa chama fulani? Kwamba bila chama hawezi kuishi?YAANI MTOA POST UMEKAA NA ROHO MBAYA HIVI BASHE LEO NDO MNAJUA SIYO RAIA?...MIMI SINA CHAMA LAKINI NATAMANI NINGEKUJUA VIZURI NA NINGEWAJUA HAO WATEKAJI NINGEWAAMBIA WAKUTEKE WAKUFANYE FANYE MAZUURI YOTE HALAFU UKITOKA HUKO UJE UIMBE KIDUMU CHA CHA KIJANI AU ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI....
WATU WANAONGELEA MASLAHI YA NCHI WEWE UMETANGULIZA TUMBO ETI BASHE ANA PAKUKIMBILIA AKIHARIBU HUKU....
HAKUNA WATU WENYE ROHO MBAYA KM WATEKAJI WALIOTUMWA
Hii ni sawa na mtu mwenye uraia wa nchi mbili ambaye akiharibu nchi moja anaweza kwenda nchi nyingine.