Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

Wabunge wa CCM msimuige Hussein Bashe

Mbona walivyotekwa kina ulimboka walikaa kimya na hadi leo ukiwauliza ulimboka yuko wapi hao wabunge hawajui?? Ukitoa tukio la Roma nani mwingine ametekwa?? Maana Ben Saanane ilishakatàzwa kuzungumzia na mbowe..na T-shirt mlizonunua mkazivua..
Mwingine ni Bashe, katekwa na maafisa wa Usalama wa taifa na kwenda kuteswa!
 
Huyo msomali aende kwao akasaidie peace keeping..siasa za Tanzania za kulazimisha kutekwa hataziweza.

Inaonekana wewe ulikimbia umande maana akili za kuzaliwa huna ni bora uende shule labda za vitabu unaweza kupata. Pole sana.
 
Lakini nao kina Roma,maneno gani hayo ya kumtukana viongozi?.Nadhani wanatafuta kutekwa ili wajiongezee umaarufu
Kwahyo mtu akimtukana mkuu hamn sheria za kumuadhibu mpk atekwe? Yaan kwako unaona sawa
 
Back
Top Bottom