Wabunge wa CCM ambao hawakushinda kihalali

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Wakuu.
Mnakumbuka kuwa uchaguzi wa mwaka 2010 ulitawaliwa na uchakachuaji wa hali ya juu huku wabunge wengi wa ccm wakitangazwa washindi kwa mizengwe iliyo ambatana na ufyatuaji risasi na upigaji wa mabomu ya machozi.

Wabunge wa ccm ambao hawakushinda ki halali ni.
1. Makongoro Mahanga v/s Mpendazoe wa chadema. Ukonga
2. Omari Nundu v/s Mussa Mbarouk wa Cuf Tanga.
3. Peter Serukamba v/s.... Wa chadema Kigoma mjini.
4. Mbunge wa kibaha v/s Habib Mchange wa chadema.
Ongeza orodha.
5........
6........
 
5.Dr Festus Limbu V/s Ngongoseke wa UDP jimbo la Magu.
6.Stephen Maselle V/s ......wa CDM Shinyanga mjini(Sasa marehemu)
 
Umenikumbusha kitu! Yule mbunge wa chadema shinyanga mjini alikuwa kashinda kabisa mabingwa wakamchakachua, nani anamkumbuka jina yule marehemu? Walio muibia Mungu hatawaacha salama kwa dhuluma zao.
 
wabunge wote wa ccm waliiba kura hata ambao hawakupingwa,.yan jamaa wajinga walichakachukua ili waonekane wameshnda kwa kishindo!.
 
Umenikumbusha kitu! Yule mbunge wa chadema shinyanga mjini alikuwa kashinda kabisa mabingwa wakamchakachua, nani anamkumbuka jina yule marehemu? Walio muibia
Mungu hatawaacha salama kwa dhuluma zao.

Magadula Shelembi, may GOD rest his soul in peace.
 
Ole Medeye (ccm) Vs Ole Kisambu (Chadema) Arusha Vijijini ama Arumeru Magharibi.
Hawa magamba walichakachua usiku kucha na mpk NEC wakaridhia na wakawapa magamba.
 
Wakuu.
Mnakumbuka kuwa uchaguzi wa mwaka 2010 ulitawaliwa na uchakachuaji wa hali ya juu huku wabunge wengi wa ccm wakitangazwa washindi kwa mizengwe iliyo ambatana na ufyatuaji risasi na upigaji wa mabomu ya machozi.

Wabunge wa ccm ambao hawakushinda ki halali ni.
1. Makongoro Mahanga v/s Mpendazoe wa chadema. Ukonga
2. Omari Nundu v/s Mussa Mbarouk wa Cuf Tanga.
3. Peter Serukamba v/s.... Wa chadema Kigoma mjini.
4. Mbunge wa kibaha v/s Habib Mchange wa chadema.
Ongeza orodha.
5........
6........

Mheshimiwa wezi wakubwa umewaacha nakupa hawa
Wasira Bunda vs Marugu wa chadema alitishia na kuhonga zaidi ya milioni 70
Makala vs chadema mvomero, mkapa alihonga milioni sitini
Mtemvu Temeke Vs Limbu wa CUF
Nyambari Vs waitara Tarime
 
Yule aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Shinyanga mjini ambaye sasa ni marehemu anaitwa PHILLIP MAGADULA SHELEMBI

Ki ukweli katika majimbo yote hili la Shinyanga mjini ilikuwa balaa....Stephen Masele mwenyewe anajua walichofanya na kama anaweza kutuhakikishia kuwa alishinda kiukweli hebu alonge hapa JF tumpe vidonge live.....Achani ufisadi wenu mpaka kwenye kura.....tutakushushia hata siri zako za Tigo...tunakujua vizuri tokea Stanbic wala hutudanganyi kitu.....
 
Back
Top Bottom