Wabunge wa CCM ambao hawakushinda kihalali

12.Zungu vs mgombea Chadema(ilala0
13.Mbunge Kigamboni vz Chadema
14.Ukonga
 
Mbona mnasahau Ngara, Bukoba mjini na Karagwe?Kigoma yote ccm haina chao kule,
 
We makupa mshenzi nini!! yani alikua msindikizaji kivipi? pamoja na kuibiwa mbona alizoa kura nyingi tu?
 
Kama walishinda mbona hawakwenda mahakamani? Tuacheni ushabiki wa kujaza posts zisizo na tija. Walioshindwa wasubiri uchaguzi ujao.
 
Umenikumbusha kitu! Yule mbunge wa chadema shinyanga mjini alikuwa kashinda kabisa mabingwa wakamchakachua, nani anamkumbuka jina yule marehemu? Walio muibia Mungu hatawaacha salama kwa dhuluma zao.

Alikuwa anaitwa Phillip Shelembi Magadula, alibahatika kupewa ushindi wa udiwani tu ubunge wake wakamchakachua ila Maselle inampa shida sana hiyo maana hakuna mpiga kura shy mjini anayemhesabu kama ni mwakilishi wao.
 
Aibu ilikuwa jimbo la uchaguzi la karagwe, Gosbert blandes ( ccm) vs Deusdedith Jovin ( chadema). Kabla ya kuendelea naomba kupatiwa terminology mpya ya wizi wa kura maana neno kuchakachua hapa halitokuwa na nguvu! Ujambazi wa kura ndo uliofanyika hapa, mmewahi kuona mwakilishi wa wananchi anaenda jimboni na vikosi vya askari kwa ajili ya usalama wake? WanaJF mnajua kuwa uchaguzi wa karagwe ndo criteria iliyotumika kumpa kanali Massawe ukuu wa mkoa wa Kagera? Huyu ndo alikuwa DC Karagwe wakati wa uchaguzi.
 
Ki ukweli katika majimbo yote hili la Shinyanga mjini ilikuwa balaa....Stephen Masele mwenyewe anajua walichofanya na kama anaweza kutuhakikishia kuwa alishinda kiukweli hebu alonge hapa JF tumpe vidonge live.....Achani ufisadi wenu mpaka kwenye kura.....tutakushushia hata siri zako za Tigo...tunakujua vizuri tokea Stanbic wala hutudanganyi kitu.....
Mkuu wewe zishushe tu zitamfikia, hiyo inaitwa "echo reflection" au dopler effects. Mchane chane ili kazi ianze kabla ya 2015 atakuwa keshalowa mbaya na hatakuwa na hamu.
 
Anne Kilango Malecela vs Nagenjwa Kaboyoka (CDM) Same Mashariki, uchakachuaji ulikuwa wazi kabisa lakini haikuripotiwa kwenye vyombo vha habari
 
Wakuu.
Mnakumbuka kuwa uchaguzi wa mwaka 2010 ulitawaliwa na uchakachuaji wa hali ya juu huku wabunge wengi wa ccm wakitangazwa washindi kwa mizengwe iliyo ambatana na ufyatuaji risasi na upigaji wa mabomu ya machozi.

Wabunge wa ccm ambao hawakushinda ki halali ni.
1. Makongoro Mahanga v/s Mpendazoe wa chadema. Ukonga
2. Omari Nundu v/s Mussa Mbarouk wa Cuf Tanga.
3. Peter Serukamba v/s.... Wa chadema Kigoma mjini.
4. Mbunge wa kibaha v/s Habib Mchange wa chadema.
Ongeza orodha.
5........
6........

Kibaha
 
Back
Top Bottom