Wabunge wa CCM ambao hawakushinda kihalali

Hayo ndiyo maneno ya wakosaji siku zote chadema hamkubali kuwa mmeshindwa ni kulalamika tu mwanzo mwisho mbona hamsemi uzini na igunga viongozi wote wa chadema pamoja na wabunge wote wa Chadema walishiriki kudhibiti uwizi wa kura mtaa mpaka mtaa,kituo mpaka kituo katika majimbo hayo wakati wa uchaguzi na ikala kwao mbona hamsemi hilo na sasa inakuja Arumeru mashariki,jamani kumbukeni hasiyekubali kushindwa si mshindani na mkae mkijua chadema haina wanachama wa kutosha ina mashabiki wengi ambao hubadilika kila kukicha leo utawaona chadema kesho utawaona Cuf,mara utawaona ADM si ndiyo chama kipya au kwingineko kwa hiyo si watu wa kujivunia wakati huo wenzao CCM ina wanachama wengi wenye upendo wa kweli kwa chama chao wako tayari kukipigania chama chao kweli kweli wala si kinafiki hii ni ndiyo siri ya mafanikio kwa CCM!
 
Mkuu swala sio kulalamika ccm ni wezi na majambazi ya kura. Muulize Dr Slaa anawajua vizuri, wamesha muibia sana kura kule Karatu na bado alikuwa ana wamwaga, hata kesi yake ya kuibiwa kura 5000 mwaka 2005 ccm wanajua walicheza mchezo gani pale mahakama kuu ya Arusha.

Ccm huwa wanaibiana wenyewe kwa michezo yao michafu hata kwenye kura za maoni za ndani sembuse ije kuwa wanaposhindana na mpinzani? Kwani wewe hujui mzee shelukindo wa bumbuli kashindwaje? Muulize Lucas Selelii anaijua ccm, Muulize Mwantumu Mahiza wanaijua vizuri michezo waliyo chezewa. Hawa magamba wakiamua lao hata Mungu huwa hawamuogopi, wangekuwa wanamuogopa Mungu wangeonyesha kwa matendo kuanzia kwa Shelembi.
 
Si wote! Hata wewe unatambua, ila wengi hapo juu wamechakachua. Si umesikia Mahanga sugar imepanda.
 
Moderators nyuzi kama hizi za watu waliotangulia mbele za haki muwe mnazipiga pin. RIP kamanda
 
Back
Top Bottom