DHULUMA aliyofanyiwa MAREHEMU Shelembi, sidhani hata MUNGU anaweza kuwasamehe NEC.
Siku ya kutangaza matokeo, msimamizi wa ucahguzi kwanza alitoka na kumtangaza Marehemu Shelembi MSHINDI. Lakini baadaye tukaambiwa kura zina matatizo, hivyo tusubiri mshindi atatangazwa tena baadaye.
KESHO yake ndipo msimamizi wa uchaguzi akamtangaza Masselle wa CCM kuwa ni mshindi KWA KURA MOJA zaidi ya Shelembi. Hadhara iliyokuwepo ninakumbuka akina mama kuangua vilio, na vijana kufanya vurugu kubwa, ambapo mabomu yalipigwa.
Tangu siku hiyo msimamizi wa uchaguzi ambaye ni mkurugenzi wa SHY (M) hakuonekana tena SHY na wala hajawahi kurudi kabisa SHY. DHULUMA nyingine zinaweza kumfanya mtu afanye lolote lile, lakini hili la Shelembi V Massele SHY mimi ninaona ulikuwa uchakachuaji FUNGA KAZI kwenye uchaguzi wa 2010.
RIP Shelembi