Wabunge wa CCM aibu

Wabunge wa CCM aibu

Mpumbavu NI Wewe Mtuma Post Sio Wabunge Wa CCM, we Unataka Waseme Unalotaka Wewe???.
Unataka Watoe Mawazo ya Ukawa???
Kama Kuibana Serikali,Wanaibana Pale Inapostahili Sio Lawama Zisizo Na Mpangilio Kama Wabunge wa UKAWA, Ambao Wanageuza Bunge Uwanja wa Kampeni Badala ya Kujadili Bajeti.

Sawasawa.......!
 
Kwa maslahi ya watz ccm haitakiwi kuwepo baada ya October.Kwa upuuzi huu wa maccm Mimi nilishakataa kuchagua eti MTU, Mimi nachagua chama.Miccm yote inafanana na ndiyo kikwazo kikubwa kwa marndeleo ya watz

Usifanye kosa kuchagua, eti..., mtu safi kutoka ccm.. KOSA KUBWA HILI USIFANYE...!
Woooote ni wale wale..., toka bungeni mpaka wawakilishi na wanachama wao humu JF ... HOVYO KABISA...!
 
Umesema kweli mkuu.., tatizo letu wananchi wengi ni kufikiri siasa ni kwa wanasiasa wenye kadi tuu, wale wanaosimama majukwaani...
Napigilia msumari hoja yako..., unapokwenda ktk nchi ukakuta ina maendeleo, ujue ni SIASA..., wananchi wao wako macho, wanashiriki SIASA...
CCM wametufanya wa TZ mazuzu..., sasa ni wakati wa kuamka na kuwang'oa madarakani..., tuwape na wapinzani, watanzania wenzetu nchi ili tutoke hapa tulipokwama...!

Waeleze wasiojua, siasa ni maisha, wenzetu wanasema "kama unadhani siasa ni kinyesi huwezi kukishika, subiri ulambishwe "
 
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.
 
Mtoa post atakuwaje mpumbavu@John s, ww unaona wanachokifanya wabunge wa ccm n sawa kwa wananchi, mm n ccm lkn upuuz huu wanaouonyesha n kukizaririsha chama. Siamn kwa kweli n nani anawashikia akili utadhani n darasa la saba au wale wa div5. Naomba ndg zangu tubadilike tunayoyafanya yatatucost sana, watanzania wa sasa sio mazuzu wakuelezwa hadithi za kale wakaamini.
 
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.

Mimi naamini wewe ni pepo mbaya...
Tena yule anayekemewa na viongozi wa dini.
Pepo tokaaa...tokaaaa
 
Hata yule Mwanasheria mfano anapiga kelele hajui anachoongea nchi sio jimbo muelewe

Wacheni mambo ya kukaa kwenye computer mka post upuuzi wenu wachakabisa hii nchi sio ya kuchezewa mleta mada usirudie
Hivi huna mishipa ya aibu we mama!?
 
Kuna watu wanajenga nyumba karibu na mgodi makusudi ili walipwe fidia. Hizo nyumba zinaitwa TEGESHA.. Ester Matiko atakuwa mmojawapo.

Ndugu yawezekana mambo yako ya kimaisha ni mazuri sana. Kwamba kila mpango wako na hata wa mwanafamilia wako vinakwenda vizuri. Lakini najiuliza pia una uhakika gani kuwa wajukuu zako nao wataishi maisha kama yako ya raha mstarehe?

Hivi kweli unaweza kuleta mzaha kwenye jambo muhimu la maisha ya halaiki kama hivi ulivyo-comment? Hivi kweli jambo lolote litakuwa jema tu ikiwa limesemwa na au kutendwa na CCM?
Hivi nchi hii ili iweze kuendelea ni lazima tu iongozwe na wana-CCM? Mtanzania anazaliwa ana akili na nguvu. Ikitokea akawa kinyume cha CCM tayari anakuwa ameondokewa na sifa hizo, siyo? Ndivyo unavyoamini?
 
Wabunge CCM hawajitambui na hawatambui wajibu wao ndani ya bunge kwa Taifa.....

Ukute hata mwakilishi wa jimbo la tarime naye alipinga mapendekezo ya ndg matiko ili wananchi wake waendelee kupata madhara ya sumu zitokanazo na mgodi na walivyo wanafiki wakirudi majimboni wanajidai wanatoa machozi ya mamba
 
Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na 50 wa CCM, sasa hapo unaweza walinganisha???
TAFAKARI !!!
 
Sasa ulitaka wasisikilize majina?

Unanchekesha!

Tatizo si majina dada angu, ila hoja. Inakuwaje hoja hiyo hiyo unaikubali kwa kuwa kuhisi imewakilishwa na mbunge wa chama chako, unapotekea ushahihisho kuwa ni mbunge wa chama kingine unaikataa? Hii ni ajabu kweli yani rafiki yako akisema embe tamu unasema ndio, asie rafiki yako akisema embe tamu unasema sio? Tuache ushabiki wa kichama wabunge wengi wapo pale kimwili tu lakini fikra hazipo wana jaza vitu tu hata hawafuatilii kinachoendelea na ndio maana wengi hawendi bungeni bila sababu za msingi, bunge la sasa ni la bajeti ya mwaka mzima lakini bajeti inapitishwa na wabunge hawazfiki hadi robo yao? Jamani nani sasa atatetea maslahi ya wananchi wakati wao ndio wametumwa. Hii nchi hatuko makini ndio maana umaskini hauishi, ujanja ujanja mwingi kwenye maisha.
 
Ndugu yawezekana MAMBO YAKO ya KIMAISHA ni MAZURI SANA.. ! Kwamba kila mpango wako na hata wa mwanafamilia wako vinakwenda vizuri. Lakini najiuliza pia una uhakika gani kuwa wajukuu zako nao wataishi maisha kama yako ya raha mstarehe?

Hivi kweli unaweza kuleta mzaha kwenye jambo muhimu la maisha ya halaiki kama hivi ulivyo-comment? Hivi kweli jambo lolote litakuwa jema tu ikiwa limesemwa na au kutendwa na CCM?
Hivi nchi hii ili iweze kuendelea ni lazima tu iongozwe na wana-CCM? Mtanzania anazaliwa ana akili na nguvu. Ikitokea akawa kinyume cha CCM tayari anakuwa ameondokewa na sifa hizo, siyo? Ndivyo unavyoamini?

Ndugu yangu Fumbo...,
Watetezi wa upuuzi wa ccm ni WACHOVU kabisa..., usije kujidanganya ukafikiri wana lolote... Na wapo hivyo si kwa bahati mbaya.., laaah hasha..!
Ni WAPUMBAVU..., sio WAJINGA... Elewa hili toka sasa... UPUMBAVU sio tusi.., ni hali halisi ya uwezo wa kutindikiwa uwezo wa kijifunza, kuelewa /kumanya na kuerevuka...
Sisi wengine twaweza kuwa WAJINGA..., tukielimishwa, tunaelimika...
 
Ndugu yawezekana mambo yako ya kimaisha ni mazuri sana. Kwamba kila mpango wako na hata wa mwanafamilia wako vinakwenda vizuri. Lakini najiuliza pia una uhakika gani kuwa wajukuu zako nao wataishi maisha kama yako ya raha mstarehe?

Hivi kweli unaweza kuleta mzaha kwenye jambo muhimu la maisha ya halaiki kama hivi ulivyo-comment? Hivi kweli jambo lolote litakuwa jema tu ikiwa limesemwa na au kutendwa na CCM?
Hivi nchi hii ili iweze kuendelea ni lazima tu iongozwe na wana-CCM? Mtanzania anazaliwa ana akili na nguvu. Ikitokea akawa kinyume cha CCM tayari anakuwa ameondokewa na sifa hizo, siyo? Ndivyo unavyoamini?
laki si pesa na ccm yake hawawezi kufikiria kama unavyofikiria wewe wala hayo maneno ya hekima hawajali, wanachojua wao ni kupiga pesa tu na wabunge wao kusema ndiooooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom