Wabunge wa CCM aibu

Wabunge wa CCM aibu

Tatizo si majina dada angu, ila hoja. Inakuwaje hoja hiyo hiyo unaikubali kwa kuwa kuhisi imewakilishwa na mbunge wa chama chako, unapotekea ushahihisho kuwa ni mbunge wa chama kingine unaikataa? Hii ni ajabu kweli yani rafiki yako akisema embe tamu unasema ndio, asie rafiki yako akisema embe tamu unasema sio? Tuache ushabiki wa kichama wabunge wengi wapo pale kimwili tu lakini fikra hazipo wana jaza vitu tu hata hawafuatilii kinachoendelea na ndio maana wengi hawendi bungeni bila sababu za msingi, bunge la sasa ni la bajeti ya mwaka mzima lakini bajeti inapitishwa na wabunge hawazfiki hadi robo yao? Jamani nani sasa atatetea maslahi ya wananchi wakati wao ndio wametumwa. Hii nchi hatuko makini ndio maana umaskini hauishi, ujanja ujanja mwingi kwenye maisha.

Ewe punguani haujuwi kuwa pale kuna wanachama wa kambi tofauti?

Sasa mbunge wako kama ana akili anachotakiwa ni awakinaishe wa chama kingine wamuunge mkono. Na tumeshawahi kuona kuna hoja wabunge wa vyama vyote wanaziunga mkono wakiona zina maslahi ya jumla kwa Taifa. Hujayaona wewe?

Lakini hivi vi hoja vya mradi tu mpinzani anapinga kwa kuwa ni mpinzani, hivyo tunawahenyesha tu.
 
Uwiii sasa matusi ya nini? Jmani! waliulizwa mnaunga hoja ya Mh. ester bulaya wakasema ndiooooo, akasema samahani ni Hoja ya Mh. Ester Matiko wakasema siooooo, sasa hapo wanunga mkono hoja au jina? Lakini matusi sio mazuri.
 
Ewe punguani haujuwi kuwa pale kuna wanachama wa kambi tofauti?

Sasa mbunge wako kama anaakili anachotakiwa awakinashe wa chama kingine wamuunge mkono. Na tumeshawahi kuona kuna hoja wabunge wa vyama vyote wanaziunga mkono wakiona zina maslahi ya jumla kwa Taifa. Hujayaona wewe?

Lakini hivi vi hoja vya mradi tu mpinzani anapinga kwa kuwa ni mpinzani, hivyo tunawahenyesha tu.
tangu lini wabunge wa ccm wakaunga mkono hoja za maendeleo ? lakini waone wanavyogonga meza kwenye ufisadi wa barabara unaoongozwa na magufuli .
 
Uwiii sasa matusi ya nini? Jmani! waliulizwa mnaunga hoja ya Mh. ester bulaya wakasema ndiooooo, akasema samahani ni Hoja ya Mh. Ester Matiko wakasema siooooo, sasa hapo wanunga mkono hoja au jina? Lakini matusi sio mazuri.
kuna mambo yanafanyika nchi hii kiasi cha kutia aibu kabisa ! hivi ukiwa mbunge wa ccm unanyang'anywa kitu gani kichwani jamani ?
 
tangu lini wabunge wa ccm wakaunga mkono hoja za maendeleo ? lakini waone wanavyogonga meza kwenye ufisadi wa barabara unaoongozwa na magufuli .

Wewe unaujuwa ufisadi wewe? chadema hamna nchi na mnaiba mapaka mafuso chakavu mnayanunuwa kwa Mwenyekiti, eti fuso chakavu kwa millioni 600, ngojeni CAG aanze kutupia macho huko kwenye ruzuku za Serikali mnazopewa ndiyo mtamjuwa jina lake la utotoni.
 
naona wameamua kufia chama na siyo raia walio watuma ama kweli ccm ni janga kuliko majanga mengine wakazane kuvuga kwenye bvr tu vinginevyo wengi hatutakua nao kwenye bunge lijalo

Hayo ndio matunda ya viongozi wetu,kwani kabla ya vikao vya bunge huwa wanaelekezwa kuwa ni muhimu sana kulinda maslahi ya chama.
 
Kwamba hatma ya nchi hii imekuwa, iko na wako wanaotaka iendelee kuwa mikononi mwa hawa wajinga, wapuuzi na wapumbavu inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha.

Mkuu ktk uzi huu huwezi kuona lumumba wanatia mguu kwani hata wao wanaona aibu
 
Mkuu hii imenishangaza sana.. Hawa sijui ni wabunge wa aina gani

Yaani inaonyesha ni jinsi gani wanakuwa wanasinzia tu bungeni,ingekuwa north korea tungebakia na wabunge wa upinzani tu
 
Ingawaje Siko Chama Chochote Lakini Nimeona Jinsi Uchama Unatumika Bungeni Hata Kama Kuna Jambo Lenye Maslahi Kwa Taifa Linaweza Kukwamishwa Kwasababu Ya Uchama

Uchama huo hasa ni kutoka upande wa ccm,wao ndio chama kwanza maslahi ya taifa baadaye
 
kuna mambo yanafanyika nchi hii kiasi cha kutia aibu kabisa ! hivi ukiwa mbunge wa ccm unanyang'anywa kitu gani kichwani jamani ?

Halafu shangaa mtu na akili zake timamu anapauka KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIIII. Na mtu anakutukana kisa haoni tatizo kwenye hao wabunge wa ccm, kweli kuna misukule mingi uraiani.
 
Uwiii sasa matusi ya nini? Jmani! waliulizwa mnaunga hoja ya Mh. ester bulaya wakasema ndiooooo, akasema samahani ni Hoja ya Mh. Ester Matiko wakasema siooooo, sasa hapo wanunga mkono hoja au jina? Lakini matusi sio mazuri.

Wanaunga MKONO JINA!hahahaha hiyo ni CHICHIEM
 
Wanaunga MKONO JINA!hahahaha hiyo ni CHICHIEM

Aibu yao hiyo, kweli ningekuwa nimechagua mbunge wa ccm halafu ameshiriki huo upuuzi lazima ningempiga biti tu nikikutana nae hata kama angekuwa na muonekano kama wasira. N ajivunia maamuzi niliyoyafanya 2010 na kamwe sitarudi nyuma. Kuchagua ccm ni kutoa laana kwa vizazi vyako vyote.
 
Refer Mkosamali Mbunge wa Muhambwe,Watanzania tukiipigia tean CCM lazima tutafute CONSULTANT wa kutupima AKILI zetu...........
 
Refer Mkosamali Mbunge wa Muhambwe,Watanzania tukiipigia tean CCM lazima tutafute CONSULTANT wa kutupima AKILI zetu...........

Kabisa tena naenda mbali zaidi haina haja tupimwe akili, tupatiwe matibabu ya akili mara moja lazima tutakuwa wagonjwa.
 
Kabisa tena naenda mbali zaidi haina haja tupimwe akili, tupatiwe matibabu ya akili mara moja lazima tutakuwa wagonjwa.

CCM lazima watazidi kumchukia maana amewapa " MAKAVU LIVE" bila kupepesa macho
 
Back
Top Bottom